Manara ambaye hapa juzi kati ilivuja video akiwa anajibizana na Rais huyo wa TFF, aliongea hayo kutokana na mashabiki na watu mbalimbali kutilia shaka sababu na mtafaruko kati ya wawili hao.
Amesema kuwa mambo ya namna hiyo huwa yanatokea hivyo isifike mahali akawa anazungumziwa kila siku huku akifanya masihara kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na mke wa mtu hadi kufikia kitendo cha kuzungumziwa hivyo.
Hata hivyo, bwana mzee amejitokeza leo na kuomba radhi kwa yale yaliyotokea o wakati wa mechi ya fainali ya FA kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Imeisha hiyoooo....

Leave a Reply