Kuelekea siku ya ugawaji wa tuzo za Tanzania Comedy Award Tarehe 22 Februari 2025, Naibu waziri wa Habari tamaduni sanaa na michezo Hamis Mwinjuma, Mwana FA amesema tukio hilo...
Baada ya kuwepo na minong’ono mingi kuhusiana na ndoa ya aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Marana na mwigizaji Zaylissa kutokufikisha mwaka, hatimaye wawili hao siku ya l...
Tasnia ya uchekeshaji imeendelea kuwa miongoni mwa zinazofanya vizuri kwenye kiwanda cha burudani Bongo kutokana na kubeba majina ya vijana wengi wanaojihusisha na kazi hiyo i...
Britt Allcroft, mtayarishaji wa katuni ya Thomas & Friends, kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na mtayarishaji...
Mwanamuziki wa Singeli hapa nchini, Dulla Makabila ameweka wazi kuwa anajutia kumpa talaka aliyekuwa mke wake, Zaiylissa.Makabila amefunguka hayo leo Januari 3, 2025 kwenye ma...
Mchekeshaji Frank Patrick 'Molingo' Mkazi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Desemba 10,2024.Taarifa ya kifo chake imetolewa na Mudi Msomali,...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Siku za hivi karibuni huwenda mambo ni rahisi kwa wasanii wa vichekesho baada kuyakimbiza maudhui yako katika mitandao ya kijamii kama YouTube tofauti na ilivyokuwa zamani.
Ak...
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B ameshitakiwa na wasanii wawili nchini humo kwa madai ya kutumia baadhi ya mistari yao katika wimbo wake wa ‘Enough’ bila kuwapa taa...
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya, Shilole amesema kukosea kwake kuzungumza Kiingereza huwa anafanya makusudi ili watu wacheke.
Shilole anayejishughulisha pia na bias...
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...