Maua Sama: Nimepona

Maua Sama: Nimepona

Na Aisha Lungato

Staa wa muziki nchini Tanzania Maua Sama amepona maradhi yaliokuwa yakimsumbua kwa muda wa miezi 7.

Staa huyo ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema “Hey lover Mungu ni mwema, tatizo langu la kupoteza uwezo wa kusikia vizuri (Tinnitus) na tatizo la kinywa, lilionisumbua kwa zaidi ya miezi 7 sasa yamepona, Mungu ni mwema” Amesema

Aidha alimalizia kwa kusema kuwa “kila kitu nakuja kuwafanya chill, tutaelewana vizuri vocal most wanted i can’t wait” amesema

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags