Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown ameibua shangwe kwa mashabiki baada ya kumpandisha jukwaani mkali wa Afrobeat Davido na ku-perfom ngoma yao ya ‘Sensational’ ilioko kwenye albumu mpya ya Breezy iitwayo 11:11.
Davido na Chris walikumbushia enzi kwa kutumbuiza wimbo wa ‘Shopping Spree’ wa Davido wa mwaka 2021 aliotumbuiza kwenye Coca Cola concert iliyofanyika Arena nchini Dubai.

Leave a Reply