Jumatatu Machi 24, 2025, Jaji J. Paul Oetken alitupilia mbali mashtaka yaliyofunguliwa na mtayarishaji muziki 'Rodney Lil Rod Jones' dhidi ya 'Diddy Combs' .Ni mashtaka yaliyo...
Msanii tokea nchini Ghana, Shatta Wale anadaiwa kurudisha kiasi cha pesa alicholipwa kwenye show kisa kupewa pesa ndogo ukilinganisha na wasanii wengine kama Diamond na Davido...
Sanaa ya Marekani inavyowateka watu kwa namba 911 Usishangae ukichukua Watanzania 10 ambao hawajahi kufika Marekani hata siku moja, ukawaambia wakutajie namba ya simu ya dharu...
Umiliki wa ndege binafsi kwa watu maarufu ni moja ya kitu kinachoonekana kama mafanikio yao. Lakini pia hilo huusisha gharama za usafiri huo wa anga ambao wanamiliki. Wafahamu...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, tasnia ya burudani inaendelea kukua kwa kasi, kutokana na kuwepo kwa vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii. Lakini je umewahi ...
Aliyekuwa rapa wa kundi la Xplastaz nchini, Godson Rutta G San (G Son) amefariki dunia akiwa nchini Marekani.Taarifa zinasema G Son ambaye jina lake halisi ni Godson Rutta ali...
Serikali yaomba muda kukamilisha upelelezi kesi ya msanii wa fani ya uigizaji, Joyce Mbaga (32) maarufu Nicole Berry na mwenzake, Rehema Mahanyu (31), wanaokabiliwa na kesi ya...
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa nafanya ‘interview’ na msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga. Ilikuwa ni kipindi ambacho wasanii wa Bongo walikuwa wamechachamaa kufanya...
Nyimbo zake za mwanzo kama Mafungu (2009) na Nivute Kwao (2011) ndizo zilimpatia umaarufu kimuziki Dayna Nyange na hadi sasa anaendelea na kazi yake hiyo ya kutoa burudani kwa...
Sokwe wa aliyekuwa mfalme wa pop Michael Jackson ametimiza miaka 42 tangu kuzaliwa kwake.Sokwe huyo aitwaye Bubble ambaye kwa sasa anaishi katika hifadhi maarufu huko Florida ...
Rapa na mkali wa mitindo tokea Marekani, A$ap Rocky ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutumbuiza akiwa kwenye ndani ya 'Helicopter' kwenye tamasha la muziki la Rollin...
Baada ya ukimya wa miaka kadhaa akiwa gerezani mwanamuziki kutoka Marekani, R. Kelly ni kama amefufuliwa upya ambapo kwa mara ya kwanza amefunguka kudai kuwa muziki ndio ugonj...
Msanii wa Bongofleva Harmonize wakati akielekea kutoa dozi ya burudani 'Tukaijaze Nangwanda' itakayofanyika Mtwara, ameandaa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki.Harmonize a...
Wakili wa rapa Tory Lanez, Moe Gangat ameyalalamikia majukwaa ya muziki kuficha Album mpya ya 'Peterson' kutoka kwa msanii huyo akidai kuwa hawataki iingie kwenye trend.Wakili...