01
Shenseea Ashushwa Jukwaani Kisa Vurugu Kenya
Msanii kutoka Jamaica, Shenseea alilazimika kukatisha show na kushushwa jukwaani baada ya kuzuka vurugu katika tamasha la RahaFest lililofanyika usiku wa kuamkia Leo nchini Ke...
01
BASATA yalaani tukio la Zuchu kurushiwa vitu jukwaani
Baraza la Sanaa la Taifa 'BASATA' limelaani vikali tukio lililotokea Septemba 28, mkoani Mbeya la mwanamuziki Zuhura Othman Soud 'Zuchu' kurushiwa vitu jukwaani wakati akitumb...
01
Nicki Minaj alivyompandisha Drake jukwaani
Tazama mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Nicki Minaj alivyompandisha jukwaani msanii Drake katika show yake ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya ‘Pink Friday 2 Tour&rs...
07
Mwanamuziki FM Academia aanguka na kufariki akiwa jukwaani
Nyota mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati aki...
05
Shangwe la mashabiki baada ya Celine kupanda jukwaani
Baada ya dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion kutoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo Desemba mwaka jana, kwa kuwe...
04
Baada ya miaka miwili Bieber aonekana jukwaani
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #JustinBieber amefanya onesho lake la kwanza baada ya miaka miwili kuwa kimya bila kuoneka kwenye majukwaa. Justin alipanda kujwaani usikuwa...
26
Tazama vibe la Davido na Asake jukwaani
Wakali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Asake na #Davido waiibua shangwe kwa mashabiki wakati wakitumbuiza katika tamasha la Flytime Festival. #Asake alimpandisha jukwaani ...
23
Vibe la Chris Brown na Davido jukwaani
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown ameibua shangwe kwa mashabiki baada ya kumpandisha jukwaani mkali wa Afrobeat Davido na ku-perfom ngoma yao ya ‘Sensationa...
19
Matatizo ya misuli yamtesa Celine Dion
Dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion ametoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo kwa kuweka wazi kuwa kwa sasa Celine...
19
Bien atolewa machozi na mama yake
Mama mzazi wa mwanamuziki kutoka nchini Kenya Bien, amemfanyia surprise mwanaye, baada ya kupanda jukwaani alipokuwa akitumbuiza katika show yake ya kwanza tangu atoe albumu y...
27
Mchezaji wa zamani wa Man U, Gerard aanguka jukwaani
Mchezaji wa zamani wa ‘timu’ ya taifa ya Uhispania na ‘klabu’ ya Manchester United, Gerard Pique ameanguka jukwaani akiwa kwenye hafla.Kwa mujibu wa vy...
05
Huyu hapa mchekeshaji aliyefariki jukwaani, Mashabiki wakicheka
Sanaa ya ucheshi kwa baadhi ya watu imekuwa ikiwaminisha kuwa hata nje ya majukwaa wachekeshaji kila wanachokifanya wanakuwa wanafanya masihara. Ikiwa leo ni Alhamis siku amba...
01
Zuchu arudi darasani Mbeya
Kama kawaida ubunifu unaendelea huku kila mwanamuziki akiumiza kichwa kuonesha uwezo mkubwa akiwa ‘stejini’ akiwa anatumbuiza.   #Zuchu moja kati ya msanii al...
10
Je kuna ubaya wowote msanii kutumia jeneza kama ubunifu
Kutokana na ubunifu wa mwanamuziki DiamondPlatnumz kupanda jukwaani na majeneza, kumezuka ubishani kwa wadau wa muziki huku wengine wakidai si sawa na wengine wakisifia ubunif...

Latest Post