07
Hekima za Dulla Makabila
Kama ilivyokawaida ya mkali wa singeli nchini, Dulla Makabila kushusha jumbe tofauti tofauti katika ukurasa wake wa Instagram huku mara nyingi ukiwa ni wa kuwapa madini mashab...
07
Pogba hatiani kufungiwa ‘soka’ miaka 4
Mwanasoka nguli kutoka nchini Ufaransa Paul Pogba yupo hatiani kufungiwa kucheza mpira miaka minne kwa kosa linaloelezwa kuwa ni utumiaji wa dawa zilizopigwa marufuku za kusis...
07
Drake afunguka kuacha muziki ili azingatie afya yake
Muda mchache kabla ya kuachia albamu yake mpya ‘For All The Dogs,’ siku ya jana Drake alitangaza kuwa huenda akaachana na muziki kwa muda kidogo ili aweze kuzingat...
07
Shule zafungwa Ufaransa, sababu uvamizi wa kunguni
Waziri wa Elimu nchini Ufaransa, Gabriel Attal jana Ijumaa Oktoba 6, 2023, ametangaza kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba ambazo kwa ujumla hupokea wanafunzi 1,500 b...
07
Kanye West na Bianca walifunga ndoa, vyeti vipo
Kutokana na sintofahamu na maswali mengi juu ya ndoa ya Kanye West na Bianca Censori zikihusisha ndoa yao kutotambulika kwani hawakuwahi kuonesha cheti chao cha ndoa sasa mamb...
07
Kizazi cha sasa champa mashaka Arnold Schwarzenegger
Muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger amefunguka akiwa kwenye kipindi cha The Howard Stern Show, na kudai kuwa anapata mashaka na kizazi cha sasa kwani jamii inaunda...
07
Ariana kumlipa Dalton zaidi ya Tsh 3 bilioni
Baada ya ‘kesi’ kuunguruma mahakamani ya wanandoa Ariana Grande na Dalton Gomez kuhusiana na muafaka wa talaka yao hatimaye wamemalizana huku mrembo huyo akitakiwa...
06
Hatimaye Tems avunja ukimya
Mwanamuziki Tems kutoka nchini Nigeria aliyedaiwa kuwa na ujauzito kutokana na video zake zikimuonesha akiwa na tumbo kubwa, hatimaye amerudi tena mjini kwa kuachia wimbo wake...
06
Ahmed Ally: Tukutane robo fainali
Baada ya kusubiriwa kwa muda kuhusiana na ‘timu’ gani itapangwa na nani katika mashinando ya CAF hatimaye, yameshapangwa na kila ‘klabu’ ya ‘soka...
06
Mauaji ya Tupac, kwanini imechukua miaka 27 mtuhumiwa kukamatwa
KUFUATIA kukamatwa kwa mtuhumiwa wa mauaji ya Tupac Shakur, Duane Davis hivi karibuni kunaashiria mafanikio makubwa ya haki kutendeka katika tukio hilo la uhalifu ambalo kwa m...
06
Mtoto wa Drake ahusika kwenye albamu ya baba yake
Baada ya kusubiriwa kwa hamu ‘listi’ ya ngoma za kwenye albamu ya ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake hatimaye mkeka huo umeachiwa na kutangazwa kuingia...
06
Anayedai kubakwa na CR7 aibuka tena mahakamani
Mwalimu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kathryn Mayorga, aliyedai kubakwa na nguli wa ‘soka’ Cristiano Ronaldo amerudisha kesi hiyo tena mahakamani kwa leng...
05
Bwax: Mimi ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania
Msanii wa muziki wa singeli nchini Mzee wa Bwax amedai kuwa yeye ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania amesema hayo baada ya kuitwa katika tamasha la Wasafi Festival. Mzee w...
05
Huyu hapa mchekeshaji aliyefariki jukwaani, Mashabiki wakicheka
Sanaa ya ucheshi kwa baadhi ya watu imekuwa ikiwaminisha kuwa hata nje ya majukwaa wachekeshaji kila wanachokifanya wanakuwa wanafanya masihara. Ikiwa leo ni Alhamis siku amba...

Latest Post