Mchezaji wa ‘Klabu’ ya Pyramid FC Fiston Mayele anadai kuna watu wanataka afeli.
Kuhusiana na hilo Mayele amedai kuwa dunia ni ya Mungu siyo ya mtu hiyo watu waend...
Benard Kamungo mzaliwa wa kasulu, Kigoma anayeichezea ‘klabu’ #FCDallas inayoshiriki ‘ligi’ kuu ya nchini Marekani ameitwa katika kikosi cha awali cha ...
Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 2-1 baada ya mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Kilumba dhidi ya Big Stars FC.
Ambapo bao la kwanza lilifungwa na Sai...
Msanii wa muziki nchini #OmmyDimpoz ame-share video katika InstaStori yake akionyesha simu yake mpya ya I phone 15 na kuandika ujumbe wa matani akiwaambia watu kama hawana ain...
Mume wa Mtangazaji wa Tv kutoka nchini Marekani #MiaThornton , #GordonThornton Mwenye umri wa miaka 70 ameibuka na kumkashfu mke wake akidai kuwa alikubali kuolewa nae k...
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya AC Milan, #OlivierGiroud ameonyesha ukubwa wake ndani ya uwanja baada ya kubeba majukumu ya mlinda mlango dhidi ya Genoa katika ‘m...
Nyota wa soka la NFL Travis Kelce na mwanamuziki Taylor Swift wamekuwa katika vichwa vya habari kwa wiki nzima ikidaiwa kuwa wawili hao wako katika mahusiano ambayo yanakuwakw...
Mwanamuziki kutoka Marekani Kevin Gates ameshika vichwa vingi vya habari baada ya kamera kumnasa akimtemea mate shabiki mmoja mwenye ujauzito ambae alihudhuria kwenye show yak...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Chris Brown kupitia ukurasa wake wa instagram ameonyesha hisia zake kwa watoto wake baada ya ku-share ‘picha’ akiwa na wa...
Kupitia ukurasa rasmi wa Snapchat, wa The Tanzanian Sweetheart Wema Sepetu ame-share ujumbe ambao umewashitua mashabiki wengi na kuwafanya waulizane kipi kimemkuta mrembo huyo...
Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya Al Hilal ya nchini Saudi Arabia Neymar Jr, na mpenzi wake Bruna Biancardi wametangaza ujio wa mtoto wao mchanga ambaye wamempatia jina l...
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize ameendelea kummwagia sifa mwanamuziki Ibraah huku akidai kuwa Ibraah siyo msanii wake bali ni kaka yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-...