Mwanamuziki wa Hip-hop Fat Joe ambaye pia ni Mtangazaji na Mtayarishaji Mkuu wa Kipindi cha Tuzo za BET Hip Hop, ameeleza alivyoumia baada ya kumkosa Will Smith kwenye j...
Dennis Graham, ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki Drake awajua juu wanaomchukia na kumkosoa mwanaye.
Katika kuonesha hasira zake juu ya wanaomchukua mwanaye baba huyo amedai ...
Dereva auawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia na gari lake ndani ya ofisi za Ubalozi Mdogo wa China ,San Francisco siku ya jana Jumatatu.
Wafanyikazi na wageni waliokuwepo ...
Baada ya kutangazwa kuwa baba halali wa watoto wawili ambao ni Braiden na Brixton, msanii Ne-Yo ameripotiwa kuiomba mahakama isimruhusu ex wake Sade Bagnerise kuzungumza hadha...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Arsenal, LeandroTrossard ameondolewa katika kikosi cha ‘timu’ ya Taifa ya Ubelgiji kinachoenda kushiriki michuano ya kufuzu EUR...
Mama mtoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake, Sophie Brussaux ameendelea kuonesha upendo kwa msanii huyo hadi kufikia hatua ya kuchora ‘tattoo’ ya ...
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina hadi sasa, amedakwa na polisi baada ya kuwatishia watu waliokuwa kwenye bembea la Ferris katika hifadhi maarufu ya Santa Monica, ...
Tamasha la mwanamuziki kutoka nchini Marekani #BrunoMars lililopangwa kufanyika Tel Aviv, Israel usiku wa Jumamosi ya wiki iliyopita limefutwa baada ya vita kuibuka nchini hum...
Mrembo Kylie Jenner amejikuta akipoteza wafuasi wake katika ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka ‘posti’ kupitia InstaStory yake ikionesha anaiunga mkono ...
Akizungumza na shirika la habari BBC mwanamuziki wa Hip-hop nchini Nay wa Mitego amedai kuwa muziki wake huwa anawalenga watu wenye hali ya chini kabisa hivyo anachanganyikiwa...
Mwanamke mmoja amekamatwa kwenye Uwanja Wa Ndege Wa Minnesota nchini Marekani, akiwa na kinyesi cha Twiga kutoka nchini Kenya.
Mwanamke huyo alieleza kuwa alibeba kinyesi hich...
Simu zapigwa marufuku kwa wanafunzi katika shule za serikali nchini Australia wakati wa saa za shule au wakiwa darasani.
Hiyo ni kutokana na kuepusha usumbufu darasani wakati ...
Inafahamika kuwa maji muhimu katika maisha ya kiumbe hai, kwa mimea yanahitajika kwa kiasi kikubwa, wanyama na hata binadamu pia kwani hutumia kama kinywaji na katika matumizi...
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari, Rais wa ‘klabu’ ya #YangaSC, Eng Hersi Said ameshukuru shirika la #NIC kwa kuamini na kuchagua kufanya kazi na ‘kla...