Mwanamuziki wa #BongoFleva, B2k Mnyama ameeleza kuwa biashara yake ya nyanya ambayo alikuwa anaifanya awali kabla ya kungia kwenye muziki kwa sasa haina nafasi.
B2k ameeleza k...
Baadhi ya ma-star kutoka nchini Marekani wameonekana kuguswa na vita inayoendelea kati ya Israel na Palestina huku baadhi yao wakiungua mkono nchi ya Israel, huku kwa up...
Wimbo maarufu wa Water wa mwimbaji kutoka South Afrika, Tyla umeanza kuonekana kwenye Billboard Hot 100, baada ya ku-trend kwa wiki kadhaa kupitia mtandao wa TikTok.
‘Wa...
Kiungo wa zamani wa ‘klabu’ za Manchester City na Barcelona, Yaya Toure atamani kuona ongezeko la ‘makocha’ weusi Ulaya.
Akizungumza na BBC, Toure ames...
Muigizaji na mtangazaji kutoka nchini Marekani Jada Smith ameweka wazi kuwa yeye na mume wake Will Smith ambaye pia ni muigizaji walitengana kwa siri miaka 7 iliyopita huku ak...
‘Rapa’ 21 Savage ametangaza kufanya tamasha lake la kwanza katika nchi aliyozaliwa ambapo onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika uwanja maarufu wa O2 nchini Lon...
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Rema kueleza ndoto yake ya kuendelea kufanya ‘kolabo’ na ma-star mbalimbali kutoka Marekani, hatimaye ndoto yake ya kwa...
Mashabiki wa South Sydney nchini Australia wavunja ukimya wao kwa kutaka kujua kuhusu hali ya mwanasoka Nathan Merritt anayepigania maisha yake hospitalini baada ya kuto...
Msanii wa Hip-hop kutokea nchini Marekani, Kendrick Lamar ameonekana kinara wa Hip-hop kwa mwaka 2023, hilo limethibitika siku ya jana kupitia BET Hip hop Awards baada ya kush...
Baada ya ombi la kwanza la kutaka dhamana kutoka kwa ‘rapa’ Tory Lanez na kukataliwa, mwanamuziki huyo bado hajakata tamaa inaelezwa kuwa timu yake ya wanasheria i...
Aliyekuwa mume wa mtangazaji kutoka nchini Marekani Mia Thrnton, Gordon Thornton amefunguka na kueleza kuwa aliwahi kumruhusu aliyekuwa mkewe kuchepuka na mwanaume mwingine kw...
Mabaki ya ‘meli’ ndogo ya Titan Ocean Gate iliyokuwa inafanya safari zake kwenda kutazama ‘meli’ maarufu iliyozama ya Titanic, yameonekana kutoka chini...
Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa ...
Mama watoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani YG, Catelyn Sparks, anadiwa kusababisha kifo cha bibi wa miaka 89.
Inadaiwa kuwa Sparks aliigonga gari ya ...