Waziri wa Mambo ya ndani wa nchini Ufaransa, Gerald Darmanin, anamshutumu mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad ya Uarabuni, Karim Benzema kwa kuwa na uhusiano na kund...
Hatimaye Rapa kutoka nchini Marekani Drake ameifikia rekodi ya Michael Jackson kwenye charts kubwa za muziki duniani #BillboardHot100, ni baada mwanamuziki huyo kufikisha ngom...
Mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Uingereza, #Tabby Brown amefariki dunia leo, ambapo meneja wake wa zamani amethibitisha kifo cha mwanadada.Tabby amefariki akiwa na umri w...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Abigail Chams, wakati akizungumza na Mwananchi Scoop kwa njia ya simu ameeleza kuwa katika viti anavyo viogopa kwenye maisha yake na hawezi kuvifany...
Mwanasoka wa #Rams kutoka nchini #Marekani, #DerionKendrick,anadaiwa kukamatwa na polisi Los Angeles kwa ukiukaji wa sharia za barabarani, huku ndani ya gari lake akiwa amebeb...
Msanii kutoka nchini Nigeria, Davido amewashangaza wengi baada ya kutumia kiasi kikubwa cha pesa kununulia pochi kwa ajili ya mkewe.Davido anadaiwa kutumia zaidi ya tsh 250 mi...
Jada Smith siyo pekee katika familia yake aliye na wakati mgumu kwenye ndoa yake, inaelezwa kuwa hadi kaka yake Caleeb Pinkett, ambaye ni muigizaji alitengana na mkewe Patrici...
Mchungaji wa Kanisa la Neno nchini Kenya, James Ng’ang’a amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutoa onyo kwa waumini wake waliohitimu shahada ya kwanza kuwa w...
Mwanamume mmoja kutoka nchini Spain ambaye hajatambulika jina lake ameshikiliwa na polisi baada ya kudaiwa kudanganya kupatwa na mshituko wa moyo katika migahawa 20 ili kukwep...
Mchezo wa kufuzu #Euro2024 kati ya wenyeji Ubelgiji na Sweden umeshindwa kuendelea kipindi cha pili baada ya mashabiki wawili wa #Sweden kushambuliwa kwa risasi na kuuawa kati...
Mopreme ambaye ni kaka wa marehemu Tupac, ameweka wazi kuwa mwanamuziki P Diddy aliwahi kumpigia simu na kumueleza kuwa hakuhusika na kifo cha Tupac, licha ya baadhi ya wasani...
Inafahamika kuwa ulimwenguni kumekuwa na mashindano ya aina nyingi ambayo hufanyika kwa lengo la kuburudisha washindani na watazamaji. Wakati baadhi ya watu wakiwa wanaupenda ...