Mwanamuziki wa #BongoFleva #Zuchu amejitolea kuunga mkono zoezi la kusaidia watoto #Gaza wanaokumbana na changamoto ya vita inayoendelea kati ya #Palestina na #Israel.
Kupitia...
Mfanyabiashara na tajiri mkubwa duniani Elon Musk amewashauri wamiliki wa mtandao wa Wikipedia kubadilisha jina lao huku akidai atawapatia ofa ya zaidi ya dola bilioni moja.
E...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya #England na ‘klabu’ ya #Ettifaq kutoka Saudi Arabia, #JesseLingard ameendelea kukoshwa na wimbo wa mwanamuziki #Diamond ...
Baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu, hatimaye ‘rapa’ kutoka nchini Marekani #Blueface amemvisha pete mzazi mwezie Jaidyn Alexis.
Wawili hao w...
Msanii kutoka nchini Uingereza, Adam Thomas amevunja ukimya baada ya kupigwa marufuku kufanya mazoezi ya wimbo wake baada ya kuhofiwa kuwa na ugonjwa wa mafua kabla ya kuingia...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Rihanna anadaiwa kuwa yupo kwenye mipango ya kurejea kwenye muziki kwa kishindo ambapo anatarajia kufanya ziara kubwa ya muziki mwishoni m...
Inadaiwa kuwa ‘kampuni’ya inayo husika na maswala ya ngumi, UFC ikotayari kupata ‘saini’ ya mwanamichezo wa boxer kutoka nchini Uingereza, Michael Page...
Mwanamuziki wa bongo Fleva #Zuchu amedai kuwa amepoteza ‘begi’ ambalo aliweka vitu vyake vyote kwa ajili ya show leo usiku nchini #Rwanda.Kupitia #InstaStory yake ...
Ikiwa ni kawaida kutoka katika jumba la makumbusho la Grevin Paris nchini Ufaransa kuweka sanamu za watu maarufu mbali mbali, kwa mwaka huu imekua tofauti baada ya mashabiki k...
Baada ya ‘rapa’ #PDiddy kutangaza katika Tuzo za #BET za 2022 kuwa atatoa dola milioni 1katika Chuo Kikuu cha #Howard, hatimaye ametimiza ahadi hiyo ambapo alikabi...