Brian Njagi anayetuhumiwa kufanya majukumu ya uwakili bila kuwa na vigezo vya elimu nchini Kenya amekana mashtaka hayo mahakamani leo Oktoba 18, 2023 huku akitangaza nia ya ku...
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amewatolea uvivu wanaodai kuwa anamawazo ya mapenzi, amesema katika ma-ex wake hakuna wa kumfanya alewe.
Konde amefunguka hayo kupitia Instasto...
Mtibwa Sugar imempa mkono wa kwaheri Kocha Habib Kondo baada ya kusitisha mkataba wake kwa makubadiliano ya pande zote mbiliTaarifa inasema "Tunamshukuru Kocha Habib Kondo ka ...
Kwenye biashara wiki hii kama kawaida yetu nimekusogozea kitafunwa ambacho wengi wetu hukipendelea kunywa na soda ama juice, ukinywa na chai pia siyo mbaya ila havinogi udugu ...
Na Magreth BavumaMambo niaje wanangu ni wiki nyingine tena niwakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya wanavyuo “unicorner” chimbo moja tu ambalo wanavyuo tunakutanis...
‘Klabu’ ya #Mainz ya nchini Ujerumani, imemsimamisha mchezaji wao, Anwar El Ghazi, baada ya ‘kuposti’ katika #Instastory yake akionesha kuunga mkono Pa...
Ikiwa imebaki siku moja kwa ‘klabu’ ya Simba kuingia dimbani kukipiga na Al Ahly katika michuano ya AFL, Rais Samia ameendeleza pale alipoishia ambapo ameweka wazi...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV na muandishi wa habari Abdifatah Moalim Nur "Qeys", amefariki kwa shambulio la bomu alipokuwa kwenye mgahawa wa Blue Sky jijini Mogadishu uli...
Mtandao wa X unaomilikiwa na tajiri Elon Musk, ambayo zamani ilijulikana kama Twitter, imeanza kutoza watumiaji wapya nchini New Zealand na Ufilipino $1 (£0.82) kwa mwak...
Week hii tupo na binti mwenye sauti tamu na uwezo mkubwa wa kucheza na ala za muziki si mwingine bali ni Abigail Chams tumezungumza naye mengi na kaeleza yote ambayo ulikuwa u...
Licha ya Will Smith na Jada kutengana kwa miaka 7 sasa lakini waliutumia vizuri muda wao wakati watoto wao walipokuwa wadogo.
Jada kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni amew...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini #RosaRee amedai kuwa kuna muda anakuwa kama baba kwa mtoto wake, akimlea mwenyewe na kumsimamia japo ni ngumu kuwa baba.
Akizungumza na moja ya c...
Baada ya mchezaji wa zamani wa NFL, Antonio Brown, kukamatwa na kuwekwa jela toka Jumapili ya wiki iliyopita kwa kosa la kutolipa pesa ya matumizi kwa watoto wake, hatimaye am...