Baadhi ya wachezaji na sehemu ya benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars, walienda kufanya ibada ya Umrah katika msikiti mtukufu wa Makkah ambao upo nchini S...
Dk. Louis Kwong, ambaye alikuwa Mkuu wa Idara ya Mifupa katika Kituo cha Matibabu cha Harbour-UCLA Torrance, California, ameshitakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia, tabia ya uba...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Justin Bieber amethibitisha kuwa mapenzi yake na Hailey hayajafa, huku akiamua kujitoa kumsaidia mpenzi wake katika kazi zake za sanaa.
Kwa ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Breneida Gottschalk ameshitakiwa kwa kosa la kutishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chips zilizoungua.
Mwanamke huyo mwenye um...
Dennis Graham ambaye ni baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Drake, ameendelea kumkingia kifua mwanaye na kudai kuwa hawezi kuingilia wala kutoa maoni yoyote juu ya vita...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Kanye West anadaiwa kupata tabu katika harakati zake za kuachia ‘albamu’ yake mpya baada ya ‘lebo’ za muziki nchini ...
Muandaaji wa miss Rwanda Dieudonne Ishimwe maarufu kama Prince Kid amefungwa miaka 5 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa mabinti wanaoshiriki mashindano hayo.
Hatua hiyo ...
Aliye kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga Haji Sunday Manara amefunguka kuachana na masuala ya mpira na kutouzungumzia kabisa, akidai mpira umejaa uadui.
Akizu...
Kiungo wa #ManchesterUnited, #Casemiro anatarajiwa kufanyiwa vipimo leo baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati akicheza katika ‘timu’ yake ya Taifa ya Brazi...
Hali ya viatu kutoa harufu mbaya inawezekana iliwahi kukukumba ama bado inakukumba au umewahi kukarahishwa na mtu mwenye tatizo hilo, na kawaida tatizo hilo hufanya mtu kutoji...
Mchakato wa uuzwaji wa ‘klabu’ ya Mancheste United umeingia doa baada ya mnunuzi kutoka Qatar aliyekuwa mstari wa mbele kwenye kinyang'anyiro cha kuichukua ‘...
Msanii wa muziki nchini Mbosso Khan ambaye anatamba na kibao chake cha ‘Sele’, ame-post video ikionesha wanaume wenye asili ya kiarabu wakiimba wimbo unaendana na ...