Mwimbaji na ‘rapa’ kutoka nchini Colombia, Maluma anatarajia kupata mtoto wa kwanza na mpenzi wake Susana Gomez.Maluma ameweka wazi kutarajia kupata mtoto wa kike ...
‘Rapa’ na mwanamitindo kutoka nchini Marekani #KanyeWest hato gombea tena urais nchini humo mwaka 2024.Kwa mujibu wa mweka hazina wa ‘kampeni’ ameeleza...
Mpenzi wa zamani wa mchezaji wa #ManchesterUnited, #SergioReguilon, Marta Diaz amedai kuwa hato msahau ex wake huyo kwa kuwa alikuwa ni nguzo muhimu katika maisha yake.
Kwa mu...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Ahly, Anthony Modeste hatokuwa sehemu ya kikosi cha Al Ahly kitakacho ikabili Simba SC katika mchezo wa ufunguzi wa ‘Ligi’ ya...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya bendera ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dk Patrice Motsepe Ikulu Chamw...
Mwanamuziki kutoka nchini South Africa, Tayla ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘water’ ameweka wazi kuvutiwa kimapenzi na msanii wa Afrobeats Rema.
Kufuatia mahoji...
Muigizaji kutoka nchini Kenya Lupita Nyong’o ameweka wazi kuwa ameachana na mpenzi wake Selema huku sababu ikiwa ni udanganyifu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Lupita...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Adele ameweka wazi kuwa kwasasa ameacha kunywa pombe, baada ya kupata madhara ya kuwa mlevi kupindukia.
Kwa mujibu wa CNN News inaeleza ku...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #RickRoss amejitolea kutaka kumsaidia Kanye West kuisambaza albumu yake mpya kwa kutumia label yake ‘Maybach Music Group’...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Ittihad, Karim Benzema amekanusha vikali taarifa zinazosambaa kwamba yeye ni miongoni mwa watu wanaounga mkono magaidi, ikiwa ni ba...
Muigizaji kutokea nchini Marekani, #ToriSpelling ameripotiwa kuhama nyumbani kwake Los Angeles baada ya kuvamiwa na jirani yake akiwa na bunduki aina ya AR-15.
Tori ambaye ali...