26
Kamari yamponza Tonali
Mchezaji wa ‘klabu’ #NewcastleUnited, #SandroTonali amefungiwa miezi 10 kujihusisha na masuala ya ‘soka’ kwa kukiuka sheria za michezo ya kubashiri (ka...
26
Aiumbua Benki kwa kumpa pesa bandia
Mwanaume mmoja kutoka nchini #Nigeria aliyefahamika kwa jina la #LegendaryPapi ameiumbua ‘benki’ iliyoko nchini humo baada ya kumpa pesa bandia kiasi cha Euro 5000...
26
Mkude aishitaki METL
Mchezaji wa ‘Klabu’ ya Yanga, Jonas Mkude amefungua ‘kesi’ katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai ‘Kampuni’ ya Mohamed Enterpri...
26
Manara: role model wa Diamond ni SRK
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga #HajiManara amedai kuwa role model wa msanii wa bongo Fleva, #DiamondPlatnumz ni muigizaji mkongwe kutoka #India, #ShahRukhK...
26
Aliyeenda ‘baa’ na kutelekeza watoto kwenye gari, awekwa kikaangoni
Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani, aliyetambulika kwa jina la Jamie Leigh Gunn amekamatwa na polisi baada ya kuwaacha watoto w...
26
Nicki Minaj ampisha Lil Wayne kwenye soko la muziki
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #NickiMinaj amesogeza mbele tarehe ya kutoa albumu yake ya ‘Pink Friday 2’ kutoka Novemba 17 hadi Disemba 8 mwaka huu ambayo it...
26
Jonatha amshitaki Ex wake
Muigizaji kutoka nchini Marekani #JonathanMajors amemshitaki mpenzi wake wa zamani #GraceJabbari kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi maeneo ya usoni na sikioni.Major aliwasilisha...
26
De Gea kuonekana tena Man United
‘Klabu’ ya #ManchesterUnited, inadaiwa kuwa na mpango wa kumrejesha ‘goli kipa’ David de Gea katika kikosi chao, ikiwa ni miezi sita tangu aondoke kati...
26
Rihanna bado hana mpango wa kufanya ziara
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na msanii #Rihanna kuwa anapanga kufanya #Tour kubwa mwaka 2024, kwa mujibu wa #Billboard imefichua taarifa hizo ni za uongo. Siku ya Jumapili...
25
Mfahamu mwanaume aliyetengwa baada ya kupona kwenye ajali
Siku zote waswahili wanasema ukistajaabu ya Musa utayaona ya Firauni, msemo huo ulijionesha kwenye historia ya ajali ya kuzama kwa meli ya Titanic, iliyotokea Aprili 14, 1912 ...
25
Jinsi ya kutengeneza Simple Dessert
Katika sehemu za kuuzia vyakula mbalimbali nchini, watu wameonekana kuvutiwa na kinywaji cha dessert ambacho huwa kina mchanganyiko wa matunda na maziwa na yogurt. Hivyo basi ...
25
Ijue sheria juu ya haki na wajibu wa wafanyakazi wa kazi za ndani
Ama kweli mambo ni mengi muda ni mchache, ni wiki nyingine tena tunakutana hapa kwenye segment ya kazi chimbo pekee tunakusogezea mambo mbalimbali kuhusiana na ajira. Na leo n...
25
Mwaka wa kwanza chuoni
Na Magreth BavumaNiaje niaje wakuu karibuni tena kwenye ‘kona’ yetu pendwa ya wanavyuo “unicorner” eneo moja tu linalowakutanisha wajanja wote walioko ...
25
Safari ya Xouh, Kutoka kuuza duka mpaka kutusua kwenye bongo fleva
Leo tupo na binti mwenye kipaji kikubwa kwenye upande wa muziki wa Bongo Fleva, si mwingine bali ni Zulfa Mohamed Ibrahim, na jina lake maarufu ni Xouh, wengi walimfahamu kupi...

Latest Post