Baada ya kutoa taarifa katika ziara yake ya Renaissance kuhusiana na uzinduzi wa Perfume yake, hatimaye mfanyabiashara na mwanamuziki Beyonce amezindua manukato hayo ambayo ya...
Jason Alexander, mume wa zamani wa mwimbaji kutoka #Marekani, #BritneySpears akana madai ya kulewa siku ya harusi yao, badala yake, amesisitiza kuwa siku hiyo alikuwa amechoka...
Hellow!! Once again on Fashion tumekutana tena hapa katika jarida lako pendwa la Mwananchi Scoop ilikupeana updates mbalimbali katika Fashion, nikusihii tu twendelee na weeken...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #RichardRoundtree mwenye umri wa miaka 81 amefariki dunia, baada ya kuugua saratani ya kongosho iliyogundulika miezi miwili iliyopita.
Kwa mu...
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya Arsenal, Mesut Ozil, amewapa maua yao wachezaji wawili kutoka ‘timu’ ya Manchester United, mlinda mlango Andre Onana, ...
Kijana wa Kipoland mwenye umri wa miaka 22 ambaye hajafahamika jina lake anashikiliwa na polisi baada ya kubainika akijifanya mdoli (mannequin) wa kuwekea nguo dukani, kwa len...
Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ampa shavu mchezaji kutoka ‘timu’ ya Al Hilal ya Saudi Arabia Neymar ya kutangaza bidhaa za nguo.
Neymar alion...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KodakBlack anatamani kulipa fadhila kwa #DonaldTrump kwa kumpa Tsh bilioni 2.5 baada ya kumpatia msamaha wakutoka gerezani kabla ya...
Phoebe Gates ambaye ni binti wa tajiri maarufu duniani Bill Gates, ameachana na mpenzi wake anayefahamika kama Robert Ross.
Mrembo huyo amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake...
Mwamuzi kutoka #DRCongo, Jean Jacques Ndala ameteuliwa kuchezesha mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya African Football League kati ya Al Ahly dhidi ya Simba SC utakaop...
Rapper kutoka nchini #Marekani, na baby mama wa Rihanna #ASAPRocky ametajwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu (Creative Director) wa ‘kampuni’ ya kutengeneza mavazi ya PU...