Mshambuliaji wa ‘Klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani, Lionel Messi amezawadiwa pete nane za dhahabu na kampuni ya Adidas kuenzi matukio yake muhimu katika...
Imeripotiwa kuwa nchini #SaudiArabia, wataandaa Kombe la Dunia la 2034, baada ya #Australia kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuandaa mashindano hayo.
Inaelezwa kuwa nchi hi...
‘Rapa’ kutoka #Jamaica #SeanPaul anadaiwa kusitisha mahojiano baada ya tetemeko la ardhi lililoikumba jengo la #Kingston nchini humo.
Kwa mujibu wa vyombo vya haba...
Baada ya mtayarishaji mkongwe wa muziki kutoka nchini Marekani #SugeKnight kudai kuwa mwanamuziki na mfanyabiashara Akon aliwahi kumbaka binti wa miaka 13, hatimaye, muimbaji ...
Baada ya ‘Klabu’ ya Yanga kuanzisha Tuzo za mchezaji bora wa mwezi, hatimaye ‘Klabu’ hiyo imemtangaza mchezaji Aziz Ki kuwa ndiye mchezaji bora wa mwez...
Ma-bosi wa ‘klabu’ ya #Yanga wamempa zawadi ya gari mchezaji #MaxiNzengeli mara baada ya ‘kiungo’ huyo kupiga mabao 2-0 dhidi ya Singida Big Stars kwa ...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Tems ameweka wazi kuwa kwa siku za hivi karibuni ataingia katika #uigizaji.
Kufuatia mahojiano yake hivi karibuni na #BBC Capital Xtra #Lon...
Waigizaji kutoka nchini Marekani #ZoëKravitz na #ChanningTatum wameripotiwa kuchumbiana weekend iliopita baada ya kukaa miaka miaka miwili kwenye mahusiano.
Kwa mujibu wa...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya wa #RealMadrid, #ViniciusJunior ametwaa tuzo ya Socrates kwa mapambano yake dhidi ya ubaguzi wa rangi pamoja na mchango wake wa hisani kwa j...
Baada ya mwanamitindo #KimKardashian kuvunja ‘rekodi’ ya bidhaa zake za SKIMS FOR MEN kwa kuagizwa na zaidi ya watu Elfu 20 ndani ya dakika 5, hatimaye mfanyabiash...
Rais wa zamani wa chama cha ‘Soka’ nchini Uhispania, #LuisRubiales amefungiwa kujihusisha na ‘soka’ kwa miaka mitatu.
Mwanzo Rais huyo alisimamishwa ku...
Mtayarishaji mkongwe wa muziki kutoka nchini #Marekani, #SugeKnight amedai kuwa mwanamuziki na mfanyabiashara #Akon, kwamba aliwahi kumbaka binti wa miaka 13.
Akiwa katika mah...
Msemaji wa ‘klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly amedai kuwa mpinzani wao aliye baki ni watani wao #Yanga ambaye wanashauku ya kumfunga.
Akizungumza na waandishi wa habari...