Msemaji wa ‘klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ametupa jiwe gizani baada ya kushusha ujumbe ambao baadhi ya mashabiki wametafsiri kuwa huwenda dongo hilo likawa linamlen...
‘Rapa’ kutoka Marekani ThegirlJT amefikiria kubadili jina lake la sasa hivi.
JT ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa X baada ya kuandika kuwa anafikiria kubadili...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Ice Spice amepewa kitabu cha dini ya Kikristo (bible) baada ya kumaliza show.
Ice ali-share ‘picha’ ya kitabu hicho kupit...
Mpiga ‘picha’ na mfanyabiashara #AbuSalami amedai kuwa msanii kutoka nchini #Nigeria #Davido hana pesa bali msanii huyo anaishi maisha ya uongo.
Hii inakuja baada ...
Nyota wa muziki kutoka nchini #Nigeria Mr Eazi anadaiwa kumtishia mwandishi wa habari wa X (Twitter) kutoka nchini humo #zobathegreat kumchukulia hatua za kisheria kwa k...
Mwanamke mmoja anaye fahamika kwa jina la #AisyluChizhevskaya mwenye umri wa miaka 53 kutoka nchini #Urusi amefunga ndao na mwanaye wa kumlea #DanielChizhevsky (22).
#Aisylu a...
Mchezaji wa kulipwa wa mchezo wa ‘Ice-hockey’ kutokea #Marekani #AdamJohnson mwenye umri wa miaka 29, amefariki dunia jana usiku kwa ajali ya kukatwa shingo na fim...
‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini Marekani, #50Cent inadaiwa kuwa ameudhihaki muonekano wa mwanamuziki #Madonna kwa kumcheka baada ya ‘kumposti’ katika ukur...
Taifa la Israel limekasirishwa na kauli ya mfanyabiashara Elon Musk kusaidia Gaza kurudisha mawasiliano, ni baada ya hivi karibuni mmliki huyo wa mtandao wa X kutoa ahadi ya k...
Muigizaji kutoka nchini Marekani Matthew Perry amefariki dunia baada ya kupata mshtuko na kudondokea kwenye Jacuzzi nyumbani kwake Los Angeles jana Jumamosi.kwa mujibu wa vyom...
Wazazi wa mchezaji nyota wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #LuisDiaz wanadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakati wakiwa kwenye gari kuelekea nyumbani kwao Mjini Barranc...
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, #MercyChinwo na mumewe #BlessedUzochikwa, wamepata mtoto wa kiume.Wanandoa hao walitoa taarifa hiyo Jana Ijumaa kupitia mitandao yao ya k...