Mwanariadha mkongwe wa Olimpiki kutokea nchini Marekani Mary Lou Retton inadaiwa kuwa kwa sasa anapigania maisha yake ICU akishambuliwa kwa ukonjwa wa mapafu (Pneumonia).
Inae...
Mchezaji wa #Arsenal, Bukayo Saka inadaiwa kuwa amejiondoa kwenye kikosi cha ‘timu’ ya taifa ya nchini England kinachojiandaa na ‘mechi’ dhidi ya Austr...
Bondia mstaafu ambaye pia ni ‘promota’ wa mchezo wa ngumi kutoka nchini Marekani ameonesha kuguswa na vita inayoendelea kati ya Israel na Palestina hivyo basi amep...
‘Kocha’ wa Manchester United Erik ten Hag ameweka wazi kuwa hakuna njia ya kurudi kwa #JadonSancho katika ‘klabu’ hiyo baada ya kushinikiza mshambuliaj...
Mwanamitindo na mfanyabiashara ambaye pia ni mjukuu wa Hayati Mwaikibaki, Sean Andrew, amefunguka na kuweka wazi kuwa aliwahi kukataliwa kufanya tangazo kisa utanashati (uzuri...
Bondia maarufu nchini Hassani Mwakinyo amefungiwa kupanda ulingoni kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya tsh 1 milioni kufuatia utovu wa nidhamu wa kugomea kupanda ulingoni.
Mwa...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria amedai kuwa amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufanana na mwanamuziki Naira Marley ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa tuhu...
Mwanamuziki wa BongoFleva #Lavalava awajibu watu wanaosema kuwa anajitenga na yupo kimya tofauti na wasanii wengine.
Akizungumza na moja ya chombo cha habari nchini msanii huy...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent amewashitua wengi baada ya kufanya maamuzi ya kuwa mdhamini wa ‘timu’ ya wasichana wenye umri chini ya miaka 14 y...
Mwalimu wa mcheza ‘boxer’ #ChrisEubank Jr, McIntyre ‘BoMac' ashitakiwa baada ya kukutwa na bunduki katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza.
Ina...
Baada ya baadhi ya watu kuchukiza na kitendo cha mfanyabiashara Kylie Jenner kwa kuonekana akiiunga mkono nchi ya Israel hatimaye amepata utetezi kutoka kwa mashirika ya...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Oxlade amedai alishindwa kumaliza chuo mwaka wa mwisho kwa sababu ya kuzongwa na mambo ya kishirikina.
Mkali huyo aliyetamba na wimbo wa &lsq...