26
Kondoo wazidiwa baada ya kula bangi
Kundi la kondoo nchini Ugiriki kwenye mji wa Almyros limevamia nyumba ya kuhifadhia mimea na kula bangi  zilizokuwa zimehifadhiwa kwa ajili ya matibabu. Inadaiwa kuwa kon...
26
Kilichotokea kwa Kane siyo hat-trick
Hat-trick ya kwanza iliyodaiwa kufungwa na Star wa ‘klabu’ ya #BayernMunich #HarryKane yakataliwa kutokana na sheria za ‘soka’ nchini Ujerumani zinazot...
26
Sancho aendelea kushushiwa adhabu
Baada ya mchezaji maarufu kutoka’ klabu’ ya Manchester United, Jadon Sancho kuzuiliwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza siku chache zilizopita, ‘timu&rsqu...
26
Tory azungumza kwa mara ya kwanza tangu aingie gerezani
Baada ya ku-trend kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na ‘rapa’ Tory Lanez ambaye kwa sasa yuko gerezani kuwa anahofia maisha yake, hatimaye ‘rapa’ hu...
25
Fahamu uhusiano uliopo kati ya popcorn, Filamu
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kutaja movie kama sehemu yao ya starehe, tena wengine huenda mbali zaidi hutoka na kwenda sehemu maalum za kuoneshea movie kwa ajili ya kubu...
25
Video ya mtoto mwenye ngozi nyeusi kunyimwa medali, Simone apiga vita ubaguzi wa rangi
Kama ilivyo kawaida ya teknolojia kutunza vitu na kuviibua upya ndiyo video ya mtoto mwenye ngozi nyeusi ya mwaka 2021 nchini Irel...
25
Tory ahofia kupoteza maisha akiwa gerezani
Ikiwa ni takribani wiki moja tangu msanii wa Hip-hop kutokea nchini Marekani Tory Lanez aanze kutumikia rasmi kifungo cha miaka 10 katika gereza la North Kern State  lili...
25
Akon: Ukitaka kutajirika kuwa bahili
Mwanamuziki Akon ametoa ushauri kwa watu ili waweze kutajirika ni lazima wawe wabahili. Akon akiwa kwenye podcast ya #Impaulsive amesema, kama mtu anataka kutajirika basi lazi...
25
Fid Q: Mtoto wangu ndiyo sababu ya kuwa baba bora
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini FID Q kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share picha akiwa na binti yake na kudai kuwa mtoto huyo anayeitwa Fidelia alimtoa kwenye hali ya ku...
25
Mashabiki wenye hasira wa ‘timu’ ya Ajax, Waharibu uwanja
Nchini Holanzi mchezo wa ‘Ligi’ kuu kati ya ‘timu’ ya #Ajax waliocheza nyumbani dhidi ya ‘klabu&rsqu...
25
Makabila asimama na wachekeshaji nchini
Mwanamuziki wa Singeli #DullaMakabia atoa mtazamo wake juu ya upendo walionao wasanii wa vichekesho nchini. Dulla amedai kuwa wachekeshaji wamekuwa na upendo na moyo wa kujito...
25
Maluma arushiwa simu na shabiki wakati akitumbuza
Mwanamuziki kutoka nchini #Colombia, #Maluma naye akutana na vioja vya mashabiki kurushia vitu wasanii wakiwa jukwaani wanatumbuiza. Awamu hii Maluma arushiwa simu na shabiki ...
25
Mwanafunzi aliyemuua mama yake ili asijue kufukuwa kwake chuo, Ahukumiwa
Aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mount Union, kilichopo Ohio, Sydney Powell, ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya ...
25
Chris Brown afikishwa mahakamani kwa kushindwa kulipa mkopo
Mwanamuziki Chris Brown anakabiliwa na mashitaka ya kushindwa kulipa mkopo wa dola 2 milioni alizokopa kwenye ‘benki’ ya City National . Katika mashitaka hayo amba...

Latest Post