23
Mashabiki waimba jina la Ronaldo uwanjani
Kwa upande wa nyota wa Al Nasrr CR7 amejipata Saudi Arabia, hii ni baada ya kuonekana kupendwa zaidi na mashabiki wa ‘klabu’ hiyo, huku usiku wa kuamkia leo Septem...
23
Beyonce atimiza ndoto ya shabiki mwenye ulemavu, aliyekosa nafasi kwenye ndege
Shabiki wa Beyonce mwenye ugonjwa wa kupooza hatimaye amefanikiwa kutimiza ndoto ya kumuona msanii huyo kwa mara ya kwanza baada y...
23
Wizkid na mkurugenzi wa ubunifu Gucci
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameonekana tena kwenye tamasha la Gucci Fashion Show lililofanyika London, huku akiwa ametupia mavazi ya ‘kampuni’ hiyo na...
23
Kim azua taharuki kwenye mtandao wa X, picha aliyochora mwanaye yamponza
Mfanyabiashara na mwanamitindo Kim Kardashian ajikuta akizua taharuki na kuitwa muongo kwenye mtandao wa X,baada ya ku-post mchoro...
22
Mfahamu bondia aliyepata ulemavu baada ya kupigwa ngumi kichogoni
Tazama maisha ya bondia kutoka nchini Marekani Prichard Colon Melendez, yalivyo badilika kwa sekunde chache baada ya kupigwa ngumi akiwa ulingoni, na kusababisha maisha yake k...
22
Ronaldo ndani ya kanzu
Mchezaji maarufu dunian Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa ni mchezaji wa klabu ya Al Nassr kutoka nchini Saudi Arabia bado anaendelea kukonga nyoyo za mashabiki zake nchini hu...
22
Zuchu alia na Tanesco
Baada ya Shirika la Umeme nchini(TANESCO) kutoa taarifa ya kuwa hakutakuwa na umeme kwenye baadhi ya maeneo jiji Dar es Salaam, huku baadhi ya watu wakiwa wanalalamika kutokan...
22
Messi bado anaikumbuka Barcelona kwa tattoo
Mchezaji maarufu duniani Leonel Messi amewashangaza wadau wengi wa mpira baada ya kuona mchezaji huyo bado ana ‘tattoo’ ya nembo ya ‘klabu’ ya Barcelon...
22
Messi adai PSG haikumpa heshima anayo stahili
Nyota wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Messi amefunguka na kueleza kuwa ‘timu’ aliyokuwa akiichzea hapo awali ya PSG haikumpa heshima baada ya yeye kushinda ...
22
Google Map yashitakiwa kwa kusababisha kifo
Kampuni ya Google, upande Google map imeshitakiwa na familia ya Philip Paxson baada ya Google Map kusababisha kifo cha ndugu yao huyo aliyekuwa akisafiri kwa kutumia muongozo ...
22
Wanafunzi walazwa baada ya kula keki zenye bangi
Wanafunzi wasiopungua 90 wa shule ya msingi Soshanguve iliyopo South Africa, wamelazwa hospitali baada ya kula ‘keki’ zinazodaiwa kuchanganywa na bangi.Kwa mujibu ...
22
Kocha wa Kaizer Chiefs ashambuliwa na mashabiki
Wadau na mashabiki wa ‘timu’ ya Kaizer Chief kutoka South Africa wamemshambulia ‘kocha’ Molefi Ntseki, baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Super Sport Un...
21
Maandamano yanaendelea, Mashabiki wa MohBad wadai huwenda alizikwa akiwa hai
Maandamano bado yanaendelea nchini Nigeria kufuatia kifo cha aliyekuwa mwanamuziki MohBad, kwa ajili ya kupigania haki yake, huku ...
21
Kijana wa miaka 35 aoa bibi wa miaka 70
Kijana Naeem Shahzad mwenye umri wa miaka 35 kutoka nchini Pakstani afunga ndoa na bibi wa miaka 70. Inaelezwa kuwa wawili hao walikutana katika mtandao wa FaceBook wakati Nee...

Latest Post