Inadaiwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemzuia rasmi ‘Kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya Azam FC, Youssouph Dabo, raia wa Senegal kusimama kwenye 'be...
Mwanamuziki mkongwe nchini #LadyJaydee anayezidi kutamba na kibao chake cha ‘Mambo matano’, katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video na kuandika ujumbe aki...
Ikiwa ni siku chache tangu aliyekuwa ‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited ,Ole Gunnar Solskjaer kunukuliwa akisema kuna wachezaji wawili walikataa c...
Mwanamuziki wa Hip-hop kutokea nchini Ufaransa #MohamedSylla maarufu kama MHD amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela kwa mauaji ya kijana mmoja yaliyetokea jijini Paris mwaka 2...
Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo ammwagia sifa #DiamondPlatnumz Kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share video ya nyota huyo wakati anatumbuiza na kuandika ujimbe akisem...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Simba SC, Che Fondon Malone ameripotiwa kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Shule ya Feza Mikocheni wakati akitokea Airport ...
Mwanamuziki #ShomaDjozi amefunguka kuwa wasanii wa Afrika Kusini wana sample nyimbo zao za zamani ili kutoa muziki mzuri wakisasa Amapiano, lakini kwa wasanii wa Tanzania hawa...
Inadaiwa kuwa 'beki' wa kushoto wa ‘klabu’ ya Yanga, Joyce Lomalisa atakuwa nje ya uwanja kwa kati ya siku tano hadi saba akiuguza jeraha alilopata baada ya kuchez...
Muigizaji na mfanyabiashara Jackline Wolper amefunguka kuhusu kuachana na mume wake Rich Mitindo, kutokana na kuwepo kwa tetesi za wawili hao kuwa na ugomvi ambao ulipel...
Baada ya purukushani za ‘kesi’ ya ‘rapa’ kutoka Marekani, Tory Lanez kuisha siku kadhaa na hatimaye kupelekwa gerezani rasmi, inadaiwa kuwa mfungwa huy...
Ikiwa jana ndiyo siku rasmi ambayo simu za Iphone 15 zilianza kuuzwa kwenye maduka mbalimbali maarufu duniani, umati wa watu wamejitokeza kwenye duka la ‘kampuni’ ...
Baada ya kuzuka kwa story kuhusiana na mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems, kuwa na ujamzito baada ukimya wake na video yake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha...