Mwigizaji na mtangazaji maarufu kutoka nchini Marekani amevutiwa na performance ya wanasarakasi kutoka Tanzania Ramadhani Brothers, iliyowapelekea kufika hatua ya ‘faina...
Wanasarakasi kutoka nchini Tanzania Ramadhani Brothers wamefanikiwa kuingia hatua ya ‘fainali’ katika shindano la America’s Got Talent msimu wa 18 nchini Mar...
Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas Bjorn Gulden, hatimaye akiwa kwenye podcast ya “In Good Company”, amtetea Kanye West kwa mara ya kwanza tangu Adidas isitishe u...
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa mwanamitindo maarufu nchini Miriam Odemba ameweka wazi kuwa amevishwa pete na mpenzi wake, na ni wakati wake sasa kuolewa.
Odemba ameyasema hay...
Mwanamuziki mkongwe nchini #Lady Jaydee amedai kuwa huwa hapashi viporo, akiachana na mtu basi ni ngumu kurudiana naye kwani huwaa anaona kinyaa kurudiana.
Ameyasema hayo kwen...
Hatimaye ‘Rapa’ Tory Lanez week hii amefikishwa gerezani kwa ajili ya kutumikia kifungo cha miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Megan Three S...
Ni muda mchache tuu tangu msanii Zuchu kuachia ngoma yake mpya ya ‘Chapati’, msanii mwenzake Baba Levo hakulikalia kimya ametoa ya moyoni huku akimlaumu Zuchu kwa ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva Shilole anadai kuwa anaweza kuchana huku akikumbushia wimbo wake ambao alimshirikisha msanii mkongwe Chidi Beenz uliyotoka miaka minne iliyopita &ls...
Tetesi zinadai kuwa nyota wa muziki Kim Kardashian yuko wenye pezi jipya na mchezaji wa mpira wa NFL, Odell Beckham Jr,baada ya kuonekana pamoja wakiwa wanabarizi.
Inadaiwa ku...