Baada ya kufanya mahojiano yake na moja ya chombo cha habari mwanamuzikI Baba Levo alifunguka na kieleza kuwa lazima amshushe Alikiba namba one trending katika mtandao wa yout...
AHMED ALLY: OCTOBA SIKU YA HUKUMUSemaji la Simba Ahmed Ally naye hajakaa kinyonge baada ya kutoka sare katika mchezo wao na Power Dynamos uliochezwa nchini Zambia, ameunguruma...
Msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Ally Kamwe baada ya ‘timu’ yake kushinda bao 2-0 dhidi ya Al Merrikh, kama kawaida yake amewatania watani wake Simba kwa ku...
Rais wa ‘klabu’ ya Yanga Eng. Hers Said amekutana na Waziri wa Michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame.Ambapo En...
Katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa Levy Mwanawanda nchini Zambia, kati ya ‘Klabu’ ya Simba na Power Dynamos ‘timu’ zote zimetoka 2-2 kwenye ...
Mwanamuziki Baba Levo , azungumzia suala la baadhi ya simu kulipuka ikiwa zimepita siku chache tangu matukio ya namna hiyo kutokea huku akiwatolea mifano watu maarufu kama Nai...
‘Klabu’ ya Yanga yaibuka kidede baada ya kuichapa Al Merrikh ya Sudan mabao 2-0 katika Uwanja wa Pele katika mchezo wa makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Huku mabao ...
Rapper Cardi B ameweka wazi kuwa hatoshughulika tena na watu wanaomsema vibaya kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyokuwa mwanzo.Cardi B ameyasema hayo akiwa kwenye podcast ya...
Mmiliki wa gym ya Hardcore Fitness iliyoko jijini Los Angeles ajikuta kwenye vita na mwenyenyumba, baada ya kuweka mchoro wa marehemu Kobe Bryant na wanaye katika ukuta wa nyu...
Bondia kutoka nchini Tanzania ambaye pia ni nahodha wa ‘timu’ ya taifa ya ngumi, Yusuf Changalawe amepoteza pambano lake la ‘fainali’ ya kuwania &lsquo...
Mfanyabiashara Kelvin Sowax ambaye pia ni mpenzi wa mrembo Hamisa Mobetto kupitia Instastory yake ame-share picha ya rapper kutoka Marekani, Kanye West akiwa na mkewe Bianca n...
Katika harakati za kutambiana mikufu yenye thamani katika festival iliyofanyika siku ya Ijumaa mkoani Songea, msanii Billnass naye hakukaa kinyonge huku akidai kuwa mkufu wake...
Mwanaume kutoka New Jersey anayefahamika kwa jina la Joe Dimeo, ambaye alipata ajali ya gari mwaka 2018 baada ya kusinzia akiwa anaendesha na kisha kufanyiwa upandikizaji wa u...
Baada ya msanii Mbosso kununua mkufu wa dhahabu na kuendelea kutamba nao kupitia mitandao ya kijamii, siku ya jana Ijumaa akiwa na baadhi ya wasanii katika festival mkoani Son...