Jann Wenner ambaye ni mmoja ya waanzilishi wa Rock and Roll Hall of Fame Foundation na mtayarishaji wa jarida la Rollind Stone afukuzwa kwenye ‘bodi’ ya Rock...
Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatumz katika Instastor yake ameweka ujumbe uliobebwa na video ya watu wa #Madrid wakicheza wimbo wake wa Amapiano ‘Shu’.Diamond kw...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, Antony Dos Santos aliyefunguliwa mashtaka na wanawake watatu kuhusu unyanyasaji na kuwashambulia, inadaiwa mmoja kati ya ...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwekezaji wa ‘klabu’ ya Simba SC, Mo Dewji ameonekana kuhoji kuwa mpira uliyofunga bao la kwanza Simba ulikuwa umetok...
Inadaiwa kuwa Rapa kutoka Marekani, Young Jeezy na mkwe Jeannie Mai ambaye ni mtangazaji wapeana talaka, huku ndoa yao ikiwa imedumu kwa miaka miwili tu.
Aidha Jeezy na ...
Wafanyikazi wawili wa Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi (TSA) wamefumwa wakiiba pesa na vitu vingine kutoka kwenye mifuko ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami F...
Msanii #BabaLevo amefunguka akidai kuwa kupitia #Diamond unaweza ukafanya mambo makubwa, yeye humuita powerful kutokana na uwezo wake katika soko la muziki nchini.
Ameyazungum...
Mwanamuziki #RamaDee amefunguka ukaribu wake na mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee kutokana na baadhi ya watu kudai kuwa huwenda wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapen...
Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatnumz aendelea kuonyesha ubunifu akiwa anapanda jukwaani, ili kuteka hisia za mashabiki siku ya jana awashangaza mashabiki wa Songea alipoing...
Star wa mchezo wa mieleka Dwayne Johnson ‘The Rock’ amethibitisha kurudi kwake WWE kwa kishindo huku mashabiki wakionekana kushangazwa na star huo ambaye alipumzik...
Muigizaji kutoka nchini Australia, Hugh Jackman ameeleza kuwa hayuko tayari kuzungumzia sababu ya kutengana na mke wake. Hugh anaonekana kuchukizwa na maswali anayoulizwa na b...
Star wa ‘klabu’ ya #InterMiami #LionelMessi amejikuta akirushiwa maneno na mashabiki mtandaoni baada ya ku-post picha ya Pizza aliyokuwa anataka kuila.
‘Staa...