03
Baada ya kupata mtoto wa pili Rihanna atoa sadaka
Zikiwa zimepita siku chache tangu nyota wa muziki kutoka Marekani Rihanna na mpenzi wake A$AP Rocky kupata mtoto wa pili, Rihanna hajataka kupoteza muda na kuamua kutoa sadaka...
03
John Cena arudi ulingoni (WWE)
Baada ya ukimya wa muda mrefu mwanamieleka John Cena arudi ulingoni tena kwa kishindo.   Ikumbukwe kuwa mwanamieleka huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu akiendelea kufanya ...
03
Akon fichua siri namna ya kuwa bilionea
Mwanamuziki Akon ameeleza namna ambavyo wamarekani wenye asili ya kiafrika wanaweza kuwa mamilionea ikiwa tu watawekeza kikamilifu barani Afrika.Akon ameyasema hayo kwenye mah...
03
Mbasha adaiwa kuchomwa kisu na mtu asiyejulikana
Inadaiwa msanii wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha yupo hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam kwa matibabu baada ya kuvamiwa na kuchomwa visu kifuani na mtu asiyeju...
03
Adaiwa kufariki baada ya mwalimu kumlazimisha afanye mazoezi
Mwanafunzi wa miaka 12, Yahshua Robinson anadaiwa kufariki dunia baada ya mwalimu wa mazoezi kumlazimisha mtoto huyo kufanya mazoezi ya kukimbia katika kipindi cha joto kali. ...
02
Haitham kuzikwa leo makaburi ya kisutu, mumewe aeleza Kwa uchungu
Boshen ambaye ni mume halali wa aliyekuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva marehemu Haitham ameweka wazi kuwa mke wake atapumzishwa leo kwenye makaburi ya kisutu.   Boshen amed...
02
Muna: Watu waache kwenda na upepo wa marehemu, Wanalia kuliko familia
Mwanadada Muna Love ametupa dongo kwa baadhi ya waombolezaji wa msiba wa Hitham wanaoendelea ku-post kwenye mitandao ya kijamii wa...
01
Mwijakui: Nilichukia wasanii kuomba Haitham achangiwe, Wasanii hawana Umoja
Mwanamitandao na mtangazaji mwijaku atoa neno kuhusu wasanii kuomba marehemu Haitham Kim aliyefariki dunia siku ya leo kwenye hosp...
01
Fahamu filamu iliyowahi kumfanya 50 Cent ajikondeshe
Kawaida jambo lolote ili lifanikiwe na liwe bora linahitaji watu watakao lisimamia au kujitoa kwa nguvu zote ili kufanikisha, katika baadhi ya filamu matukio ya kila aina yame...
01
Mrembo akatiza barabarani akigawa pesa
Mwanadada mfanyabiashara wa nywele za bandia kutoka nchini Nigeria aamua kukatiza barabarani kutoa zawadi ya pesa kwa vijana waliyokuwepo pembezoni mwa barabara hiyo. Mrembo h...
01
Mwanamuziki Haitham afariki dunia
 Mwanamuziki wa Bongo Fleva Haitham Kim, ambaye siku chache zilizopita mume wake alithibitisha kuwa mwanamuziki huyo yupo ICU akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu amefariki ...
01
Wakili amtetea 50 Cent kwa kumjeruhi Mtangazaji na Mic
Baada ya tukio la mwanamuziki 50 Cent kumjeruhi Bryhana Monegain, mtangazaji wa kituo cha Redio cha Power 106, kwenye paji la uso kwa kumrushia microphone usoni, sasa wakili w...
01
Mambo yameiva kwa Hamisa, Kevin atangaza ndoa
Mpenzi wa mwadada Hamisa Mobetto, @kevinsowax amekiri kufunga ndoa na mrembo huyo baada ya kuoneshwa mahaba mazito na Hamisa sasa amua kuweka wazi kuwepo kwa ndoa yao. Katika ...
01
Ally Kamwe: Kama alivyosema Marioo sisi ni people tutaonana
Afisa Habari wa ‘klabu’ ya #Yanga Ally Shabani Kamwe, kutokana na mfulululizo wa mabao mengi yaliyofunga ‘klabu’Yanga kwenye  ‘mechi’ ...

Latest Post