Baada ya muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) kuonekana kwenye video akiwa anasalimiana na mama yake marehemu Kanumba, na video hiyo kuonesha kuwafurahisha wafuasi wengi wa mita...
Msanii mkongwe nchini Professor Jay amtembelea Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwake kwa dhumuni la kumshukuru kwa kumsaidia katika kipindi chake cha matibabu...
Wakati wengine wakijiweka kando baada ya kusalitiwa na wanaume zao kwa upande wa mke wa Barnaba Classic iko tofauti, kupitia Instastory ameshusha ujumbe akiwashauri wanawake w...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Hilal kutoka Saud Arabia na Timu ya Taifa ya Brazil, Neymar Jr amevunja rekodi ya mchezaji mkongwe marehemu Pele baada ya kufikisha magol...
‘Klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani imeendelea kuongeza wafuasi kwenye mitandao ya kijamii kila uchwao baada ya kumsajili mchezaji aliyeshinda Kombe la D...
Mchekeshaji na mtangazaji maarufu nchini Marekani Trevor Noah ajikuta njia panda baada ya ‘dili’ lake la kuitangaza South Africa kuzua gumzo kwa baadhi ya wabunge ...
Baada ya watu kusubiri kwa muda mrefu kujua jina la mtoto wa pili wa Rapper kutoka nchini Marekani Asap na mpenzi wake Rihanna hatimaye jina la mtoto huyo limewekwa wazi ambap...
Rapper kutoka Marekani Cardi B amedai sababu ya kumrushia shabiki mic ni kukiuka makubaliano na kummwagia maji usoni. Mwanamuziki huyo amedai kuwa kutokana na hali ya joto ali...
Duniani kumekuwa na michezo ya aina nyingi sana ambayo yote huwa na mashabiki wake ambao mara nyingi wanakuwa na mapenzi ya dhati kwa timu zao hadi kufikia hatua ya kufanya ch...
Tumezoea kuona mashindano mengi yakufurahisha na kuburudisha lakini kwa hili linaweza kuwa ndiyo shindano la kushangaza zaidi la watu wanaowania taji la raia mvivu zaidi linal...
Polisi nchini Marekani imeripoti kuwa mtu mmoja amepigwa risasi wakati wa tamasha la rapper kutoka nchini humo Lil Baby lililofanyika FedEx Forum.Tamasha hilo lilifanyika usik...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, Aaron Paul amedai kuwa kampuni ya kuuza ‘movie’ Netflix haijamlipa mirabaha yake kutoka katika tamthilia ya Breaking Bad.Tamthili...
Baada ya ukimya wa muda mrefu kuhusiana na ‘kesi’ ya mauaji ya msanii kutoka South Afrika Kiernan Forbes maarufu kama AKA hatimaye bastola iliyotumika kumutoa uhai...