Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond, Lukamba ameingilia kati maneno yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa kijana anayedai alikuwa akifanya kazi kwa Zamaradi lakini ...
Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo amedai dalili za mtu kuwa masikini nifanya roho mbaya isiyo na sababu kwa kushangilia matatizo ya mwenzako.
Akiwa katika Interview na mmoja...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Panama, Gilberto Hernandez, ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji wa Colon, inadaiwa watu waliyokuwa na silaha walishambulia kundi l...
Rapper kutoka nchini Canada Drake ameendelea kuonesha jeuri ya pesa kwa mashabiki, kufuatia show zake za hivi karibuni ameonekana kuwazawadia ma-fans wake vitu mbalimbali.
Na ...
Rapper 50 Cent kutoka nchini Mrekeni ameendelea kuzungumzwa kwenye midomo ya watu kutokana na matukio mbalimbali anayoendelea kuyafanya tangu week iliyopita, awamu hii ameanza...
Licha ya ‘klabu’ ya #Yanga kumsajili Hafiz Konkoni ambaye hadi sasa tayari amefunga mabao mawili kwenye kikosi hicho mapema msimu huu lakini bado inaonesha kiwango...
Baada ya Manchester United kupoteza mchezo kwa mabao 3-1 dhidi ya Arsenal mchambuzi wa ‘timu’ hiyo, Roy Keane anadaiwa kupigwa kichwa na shabiki wa Arsenal, huku m...
Imekuwa kawaida siku za hivi karibuni wazazi watarajiwa kutumia mbinu mbalimbali kutambulisha jinsia ya mtoto wanaye mtarajia kwa kutumia rangi ya blue hutambulisha mtoto wa k...
Mwanamuziki #DiamondPlatnumz ameshinda tuzo ya #TheHeadies kwa mwaka 2023, katika kipengele cha msanii bora kutoka Afrika Mashariki.
Diamond ameibuka mshindi wa tuzo hiyo kupi...
Mwanamuziki #Diamond usiku wa kuamkia leo akiwa katika tamasha Mtwara amemsifia #ChegeChigunda msanii akidai msanii huyo hajawahi kushuka kwenye muziki tokea anamfahamu na ana...