Hellow! I hope mko good watu wangu wa nguvu, haya sasa tunaamia upande wa pili naona katika suala la interview (usaili) tumemaliza sasa nawaomba wote tuhamie huku.
Yaani natak...
Haya kumekucha jamani siku zinakimbia hatuna muda wa kujieleza, mwendo ni uleule kufanya biashara na kuongeza kipato si kukaa kizembezembe.
Leo katika segment yetu ya biashara...
Taarifa zinaeleza kuwa star mpya aliyesajiliwa na ‘klabu’ ya #Chelsea, #RomeoLavia ameumia kifundo cha mguu wakati wa mazoezi week iliyopita huku Carney Chukwuemek...
Mlinzi wa shule ya Thomas R. Proctor, iliyopo New York apigwa risasi kichogoni wakati akizuia ugomvi, katika eneo la kuegesha magari lililopo karibu na uwanja wa mpira wa shul...
Msanii wa Bongo Fleva Lady Jaydee ametoa nafasi tano za ufadhili wa masomo kwa ngazi ya chuo kwa watu ambao wazazi au walezi wao hawana uwezo wa kumudu gharama za kulipia ada....
Hatimaye Rais wa Shirikisho la Soka Hispania, Luis Rubiales amejiuzulu kufuatia sakata la kumpiga busu mdomoni mchezaji wa Timu ya Taifa ya wanawake Jenni Hermoso, kitendo amb...
Inadaiwa kuwa mchezaji wa 'timu' ya#Yanga #MaxiNzingeli wanapokuwa kambini yeye ndio anakuwa wakwanza kuwahi mazoezini na wa kwanza kutoka mazoezini.
Sasa kwa mantiki hiyo ina...
Kutokana na ubunifu wa mwanamuziki DiamondPlatnumz kupanda jukwaani na majeneza, kumezuka ubishani kwa wadau wa muziki huku wengine wakidai si sawa na wengine wakisifia ubunif...
‘Klabu’ ya Arsenal imethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na aliyekuwa mchezaji wao Nicolas Pepe ambaye walimsajili kwa dau la pauni milioni 72 kutok...
Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa onyo watoto kutoruhusiwi kucheza ‘show’ kwenye masherehe hasa nyak...
Akizungumza na waandishi wa habari DC wa Instagram #Mwijaku amedai kuwa baada ya kukutana na Bi Khadija Kopa na kuyamaliza yaliyokuwa yanaendelea mitandaoni baada ya kumkosea ...
Inadaiwa kuwepo kwa taarifa za 'winga' wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #JadonSancho anaweza kuondoka Old Trafford baada ya tovuti ya ESPN kuripoti baadhi ya...