Baada ya msanii kutoka Nigeria Rema kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wake na Selena Gomez, Davido hajakaa kimya na kuamua kuone...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Rema, ameweka wazi kuwa matamanio yake kwa sasa ni kufanya ‘kolabo’ na rapper Nicki Minaj & Megan Thee Stallion.
Rema ameyase...
Mfungwa wa gereza la Pennsylvania, Danelo Cavalcante mwenye umri wa miaka 34 aliyetoroka gerezani siku chache zilizopita, amekamatwa baada ya msako mkali.
Mfungwa huyo aliwekw...
‘Klabu’ ya #Yanga kupitia mitandao yao ya kijamii imethibitisha kuwa itamkosa ‘beki’ na nahodha, Bakari Nondo Mwamnyeto wa kikosi hicho ambacho kinatar...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester United, Antony amefunguka kwa uchungu juu ya sakata lake la unyanyasaji ambapo anatuhumiwa kumpiga mpenzi wake wa zamani.
Akitoa ...
Mwimbaji kutoka nchini Marekani Chris Brown amefunguka kupitia mahojiano yake na moja ya podcast nchini humo kuwa mpaka sasa zipo zaidi ya nyimbo 15,000 ambazo bado hajaziachi...
Mwanamke mmoja adaiwa kufariki dunia na watu wengine 12 wamelazwa kwa matibabu baada ya kula dagaa wenye sumu katika Mgahawa mmoja huko nchini Ufaransa eneo la Bordeaux.
Aidha...
Wakati wengine wakiendelea kuachia ngoma na kuzipambania zifike namba ‘one on trending’ kwa Mbosso Khan yeye ni tofauti kwa upande wake ameamua kuonesha jeuri ya p...
Baada ya kampuni ya Apple kuzindua toleo jipya la Iphone 15 na kueleza kuwa simu hiyo haitatumia tena ‘chaji’ iliyozoeleka katika simu hizo na baada yake Iphone hi...
Uwanja wa zamani wa Avanhard wa mpira ambao ulikuwa ukiingiza mashabiki 5,000, uliachwa kutumika baada ya maafa ya Chernobyl 1986 kufuatia utafiti uliofanywa hivi karibuni na ...
Mwigizaji wa filamu za Bongo Movie Madebe amedai kuwa ukifika miaka 30 bado ukawa haujapata mtoto basi ‘umefeli’ kwa sababu yeye anaamini sasa hivi kuishi mwisho n...