18
Mambo yazidi kuwa mazuri kwa Ommy na Diamond
#DiamondPlatnumz na #OmmyDimoz wakiwa pamoja ndani ya ndege, ukaribu wa wawili hao umezidi kuonekana mara baada ya kutoonekana wakiwa pamoja kwa muda mrefu. Ikumbukwe kuwa waw...
18
Mtoto wa Drake apoteza flash yenye Album mpya
Taarifa zinadaiwa kuwa mtoto wa Drake, Adonis amepoteza Flash Drive ya Album mpya ya baba yake, Albumu hiyo inayofahamika kwa jina la “For All The Dogs” mbayo ilit...
18
Leslie afichua Chris kupata ushauri nasaha baada ya kupigwa kofi na Will
Mchekeshaji Leslie Jones ambaye ni rafiki wa karibu wa Chris Rock afichua athari alizopata Chris baada ya kupigwa kofi na Will Smi...
18
Mbosso awajia juu wanaoisema Cheni yake
Mwanamuziki #MbossoKhan amewajibu wanaotoa maoni mabaya kuhusu ‘cheni’ yake mpya kuwa ni ‘feki’, huku mmoja wapo akiwa ni ‘staa’ wa muziki ...
18
Wenner matatizoni kwa ubaguzi wa wasanii weusi na wanawake
Jann Wenner ambaye ni mmoja ya waanzilishi wa Rock and Roll Hall of Fame Foundation na  mtayarishaji wa jarida la Rollind Stone afukuzwa kwenye ‘bodi’ ya Rock...
18
Diamond: Mkome viherehere tunapoachia ngoma zetu
Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatumz katika Instastor yake ameweka ujumbe uliobebwa na video ya watu wa #Madrid wakicheza wimbo wake wa Amapiano ‘Shu’.Diamond kw...
18
Antony afutiwa mashitaka ya unyanyasaji na Ex wake
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, Antony Dos Santos aliyefunguliwa mashtaka na wanawake watatu kuhusu unyanyasaji na kuwashambulia, inadaiwa mmoja kati ya ...
17
Mo Dewji: Mbona mpira ulitoka nje
 Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwekezaji wa ‘klabu’ ya Simba SC, Mo Dewji ameonekana kuhoji kuwa mpira uliyofunga  bao la kwanza Simba ulikuwa umetok...
17
Jeezy na Mai sio mke na mume tena
Inadaiwa kuwa Rapa  kutoka Marekani, Young Jeezy na mkwe Jeannie Mai ambaye ni mtangazaji wapeana talaka, huku ndoa yao ikiwa imedumu kwa miaka miwili tu. Aidha Jeezy na ...
17
Wafanyakazi wa Ndege wanaswa wakiba vitu vya abiria
Wafanyikazi wawili wa Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi (TSA) wamefumwa wakiiba pesa na vitu vingine kutoka kwenye mifuko ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami F...
17
Baba Levo: Kupitia Diamond unaweza kufanya vitu vikubwa
Msanii #BabaLevo amefunguka akidai kuwa kupitia #Diamond unaweza ukafanya mambo makubwa, yeye humuita powerful kutokana na uwezo wake katika soko la muziki nchini. Ameyazungum...
17
Rama Dee: muziki ndiyo unatuunganisha na Lady Jaydee siyo mapenzi
Mwanamuziki  #RamaDee amefunguka ukaribu wake na mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee kutokana na baadhi ya watu kudai kuwa huwenda wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapen...
17
Awamu hii Diamond awa mfungwa Songea
Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatnumz aendelea kuonyesha ubunifu akiwa anapanda jukwaani, ili kuteka hisia za mashabiki siku ya jana awashangaza mashabiki wa Songea alipoing...
17
The Rock arejea WWE baada ya miaka minne
Star wa mchezo wa mieleka Dwayne Johnson ‘The Rock’ amethibitisha kurudi kwake WWE kwa kishindo huku mashabiki wakionekana kushangazwa na star huo ambaye alipumzik...

Latest Post