Mwanaume kutoka New Jersey anayefahamika kwa jina la Joe Dimeo, ambaye alipata ajali ya gari mwaka 2018 baada ya kusinzia akiwa anaendesha na kisha kufanyiwa upandikizaji wa u...
Baada ya msanii Mbosso kununua mkufu wa dhahabu na kuendelea kutamba nao kupitia mitandao ya kijamii, siku ya jana Ijumaa akiwa na baadhi ya wasanii katika festival mkoani Son...
Inadaiwa mshekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya Eric Omondi na wenzake wamehukumiwa kwenda jela kwa mwezi mmoja au kulipa faini laki moja na sabini.Eric na wenzake hao 15 wam...
Romyjons ambaye ni kaka wa Diamond aonesha hisia za upendo kwa mashabiki wake baada kukutana nao.Romy ambaye ni Dj ametoa shukrani zake kwa mashabiki wake kwa kuwaambia, amefa...
Msanii #DiamondPlatinumz ameendela kuwafunga midomo wale waliyodai wimbo wa ‘Shu’ sio mzuri na hautafika popote.Diamond ameendelea ku-post ma-dj kutoka nchi mbalim...
Imepita siku moja tu tangu wasanii wa Bongo Fleva nchini Diamond na Mbosso kutikisa mitandao ya kijamii baada ya kununu cheni za dhahabu original huku wakitupa mawe gizani kwa...
‘Winga’ wa ‘klabu’ ya Uingereza ya Manchester United, Jadon Sancho ameondolewa kwenye kikosi cha kwanza na badala yake atafanya mazoezi na kikosi cha v...
Baada kuzuka sintofahamu kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na suala la msanii wa hip-hop nchini Nay Wa Mitego kufungiwa kufanya show.Kupitia mahojiano ya na moja ya chombo...
Mchezaji wa ‘timu’ ya taifa ya Brazil Richarlison ameweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji msaada wa ‘kisaikolojia’ atakaporudi England baada ya kupitia ch...
Mwanamuziki Ibraah ameweka wazi kuwa anapitia maisha magumu kwa sasa kwenye upande wa sanaa, bila kusema kinachopelekea apitie hayo, Ibra amedai anawapenda sana mshabiki wake ...
Mama mzazi wa mchezaji wa ‘klabu’ Man United, Harry Maguire amemkingia kifua mwanaye baada ya nyota huyo raia wa England kukosolewa vikali baada ya kujifunga wakat...
Mama mzazi wa msanii maarufu nchini Diamond, mama Dangote anaendelea kufanya yake kwa kuongeza mjengo mwingine.
Diamond ame-post clip ikimuonyesha mama yake akiwa na mafundi h...
Kama inavyo fahamika kila ifikapo siku ya Alhamis baadhi ya watu hu-post picha zao za zamani kwa ajili ya kukumbuka siku hizo, kwa aliyekuwa msemaji wa ‘klabu&rsqu...
Mwanaume mmoja kutoka Madrid anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumdhalilisha mwandishi wa habari wa kike kwa kumshika makalio na kumfanyia ghasia eneo la kazi.
&nb...