Wakazi wa mji wa Soa Lorenco De Bairro wapatwa na sintofahamu baada ya kiwanda cha kutengeneza pombe cha Levira kutiririsha wine barabarani huku wakieleza kuwa tukio hilo lime...
Mwanamuziki mkongwe na Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani #Akon amefunguka kuhusu uzoefu wake wa kumiliki ndege binafsi, kwa maoni yake anadai kuwata wenye mawazo na ...
‘Klabu’ ya #Al Ahly, ambao ni mabingwa nchini Misri, inaelezwa kuwa wamefanikisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Borussia Dortmund, Anthony Modeste, aliyejiu...
Baada ya Diamond kutoa tamko kuwa hatoshuka namba one on treanding katika mtandao wa YouTube hadi Januari hatimaye King Kiba ametengua kauli hiyo baada ya wimbo wake wa &ldquo...
Wakati baadhi ya wamiliki wa media nchini wakiendelea kuboresha vituo vyao vya habari ili kupata wafuatiliaji zaidi, hatimaye mtangazaji na mwanamitandao Mwijaku amedai ...
Kufuatia sekeseke lililoikumba hivi karibuni ‘klabu’ kutoka nchini Uingereza Manchester United kuhusiana na baadhi ya wachezaji kuwekwa nje kwa muda usiojulika, ha...
Mmilikiwa mtandao wa X na bilionea kutoka nchini Marekani amethibitisha kupata mtoto wa kiume wa tatu na mpenzi wake Grimes.
Elon ameweka wazi taarifa hiyo kupitia mtandao wak...
Kitu ambacho mashabiki walikuwa hawajui ni kwamba haikuwa rahisi kwa mwanamuziki @diamondplatnumz kukaa ndani ya jeneza ili kuridhisha mashabiki wake wa Ruangwa siku ya juma p...
Baada ya first born wa Konde Gang, Ibraah kukaa kimya wa muda mrefu bila kuachia ngoma sasa rasmi anatarajia kurudi mjini tarehe 15, akiwa na wimbo mpya utaoenda kwa jina la &...
Kuna wakati unakutana na changamoto ya kunyanyaswa kijinsia na usiwe na uelewa kwamba kitendo ulichofanyiwa ni unyanyasaji lakini kwa sababu ya ukosefu wa uelewa juu ya elimu ...
Leo katika Fashion tutazungumzia nguo za marinda zilivyo kuwa na wafuasi wengi na imeonekana kipindi cha hivi karibuni ndiyo mtindo ambao umeonekana kuvaliwa sana japo ni vazi...