19
Lulu: Mtu asitamani kuwa chawa wangu, Ninavisirani
Muigizaji wa #BongoMovie #ElizabethiMichel maarufu kama #Lulu ameeleza kuwa mtu asitamani kuwa chawa wake kwa sababu anavisirani sana kwa hiyo kazi ya chawa itakuwa ngumu kwak...
19
Chidi Beenz: Wasanii hatupotei, Aliyepotea amefariki
Akizungumza na waandishi wa habari mwanamuziki mkongwe nchini #ChidiBeenz amekanusha kauli ya watu wanaoseama kuna baadhi ya wasanii wamepotea kwenye game, Chidi amedai kuwa w...
19
Hamisi wa bss kwenye penzi na Mzungu
Mwanamuziki Hamisi aliyefahamika kupitia shindano maarufu la kusaka vipaji nchini Bongo Star Search ame-share picha akiwa na mdada wa kigeni wakiwa katika kumbato na kuisindik...
19
Cr7 apokelewa vizuri Iran, Mashabiki wakimbiza gari
Tazama mashabiki kutoka nchini Iran walivyo kimbiza gari alilopanda nyota wa Al Nassr Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake huku ‘Klabu’ hiyo ikilazimika kusitish...
19
Sanjay Dutt kupewa ubalozi wa heshima Tanzania
Serikali ya Tanzania inamuandaa msanii wa filamu kutoka nchini India, Sanjay Dutt kuwa balozi wa heshima kutokana na mapenzi yake kwa nchi na kuwa na wafuasi wengi watakaoona ...
19
Lady Jaydee awapa maua yao waliyo husika kwenye wimbo wake mpya
Mwanamuziki mkongwe nchini Lady JayDee atoa pongezi kwa mtayarishaji wa muziki Andy Muzic wa nchini Uganda pamoja na mkongwe #RamaDee kwa kuhusika moja kwa moja kwenye wimbo w...
19
Baada ya Kayumba kudai amekua, Mama yake amtaka aoe
Mwanamuziki Kayumba atuma salamu kwa mama yake kuwa tayari amekuwa mtu mzima. Kayumba ame-share video ikimuonesha akiwa na mama yake na kuandika, "salamu ziende kwa mama mwana...
19
Wasanii wamcheka Makabila baada ya kuachwa
Baada ya msanii wa singeli nchini Dulla Makabila kushusha ujumbe kuhusiana muda aliopoteza kwenye mapenzi na jinsi anavyoumizwa kwa kuachana na mkewe. Kitendo hicho kimewafany...
19
Lukaku bado hajaonekana kwa Mourinho
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya Roma, Jose Mourinho amesisitiza kuwa bao la mchezaji Romelu Lukaku lilikuwa siyo muhimu baada ya ‘straika’ huyo kufun...
18
Fahamu mabwawa yanayowekwa pombe badala ya maji, Watu huogelea
Starehe ni nyingi duniani na kila mmoja huwa na yake aipendayo, si ajabu starehe ya mtu mwingine ikawa kero kwako kwani watu hutofautiana katika machaguo. Wapo wale wanaopenda...
18
Diamond ang’ara Tuzo za AFRIMMA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, #DiamondPlatnumz ameibuka mshindi wa Tuzo ya African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) akiwa Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki. Ugawaji wa t...
18
Chris Brown amtolea uvivu Tinashe
Nyota wa muziki kutoka Marekani Chris Brown aonesha kukasirishwa na kauli ya mwanamuziki Tinashe ya kudai kuwa anajuta kufanya ‘kobalo’ na Chris Brown na R. Kelly ...
18
Mambo yazidi kuwa mazuri kwa Ommy na Diamond
#DiamondPlatnumz na #OmmyDimoz wakiwa pamoja ndani ya ndege, ukaribu wa wawili hao umezidi kuonekana mara baada ya kutoonekana wakiwa pamoja kwa muda mrefu. Ikumbukwe kuwa waw...
18
Mtoto wa Drake apoteza flash yenye Album mpya
Taarifa zinadaiwa kuwa mtoto wa Drake, Adonis amepoteza Flash Drive ya Album mpya ya baba yake, Albumu hiyo inayofahamika kwa jina la “For All The Dogs” mbayo ilit...

Latest Post