Mchekeshaji #CoyMzungu amedai kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yeyote wa kitanzani wala mzungu.
Ameyasema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari anaeleza yeye h...
Kutokana na ngoma ya Rema na Serena Gomez kufanya vizuri duniani kote hatimaye wawili hao wameshinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wa...
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake kuhusiana baada ya kukosa kutazama ‘mechi’ liv...
Baada ya wimbo wa Calm Down Remix kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats nyota wa muziki kutoka Nigeria Rema atoa shukrani kwa waliyo mfungulia mla...
Mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Uganda anayefahamika kwa jina la Ssaalongo Nsikonenne Habib amezua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuf...
Katika ulimwengu kila binadamu huwa na chaguo lake hasa katika ufugaji ndiyo maana kuna wengine hufuga kuku, mbuzi, paka, bata na viumbe wengine.
Katika ufugaji wa aina yoyote...
Mbunifu wa mavazi ya asili nchini, Makeke amefunguka na kutoa sababu ya kuacha kufanya kazi na wasanii wa Tanzania, amedai kuwa wasanii wengi ni wababaishaji na hawathamini ka...
Roboti za AI zawashangaza mashabiki wa ‘soka’ baada ya kufika kwenye uwanja wa SoFi katika msimu wa kwanza wa NFL kushuhudia mchezo kati ya Los Angeles Chargers dh...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Tottenham Hotspurs, Heung Min-Son ameomba radhi kwa shabiki aliyemuomba kupiga naye picha na kisha kukataa kuishika simu ya shabiki huyo ain...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Cardi ameendela kufunguka kuhusiana na tukio la kumpiga shabiki na mic wakati akitumbuiza katika club ya Drai’s Beach.
Kupitia ...
Wakazi wa mji wa Soa Lorenco De Bairro wapatwa na sintofahamu baada ya kiwanda cha kutengeneza pombe cha Levira kutiririsha wine barabarani huku wakieleza kuwa tukio hilo lime...