Ni kawaida wa watu maarufu kutumia magari yaliyofungwa vioo kwa ajili ya kujificha wasionekane na watu, lakini kwa mwanamuziki wa Hip-hop kutoka New York French Montana imekuw...
Mmiliki wa Meta #MarkZuckerberg, ametangaza kuwa hatapigana tena na mmiliki wa Twitter #ElonMusk baada ya Elon kuonekana kutokuwa serious na pambano hilo.
Ma...
Mwanamitandao , na mtangazaji wa The Really Good Podcast, Bobbi Althoff ambaye siku za hivi karibuni alizidi kujulikana baada ya kufanya mahojiano na mwanamu...
Kama ilivyo kawaida kwa msanii kutoka nchini Marekani, #Drake anapo simama jukwaani kutumbuiza lazima mashabiki wamtupie vitu kama nguo, lakini usiku wa kuamkia leo akiwa kati...
Kijana Emmiwuks aliyepata umaarufu mkubwa baada ya kusafiri kwa siku nane kwa kutumia baiskeli ili aonane na nyota wa muziki Nigeria, Davido amekataa kutuma ‘akaun...
Najua ni vigumu kueleza kinagaubaga maana halisi ya neno urembo ila naweza kusema kuwa urembo ni utumiaji wa mapambo, manukato, marashi, uturi, mavazi na rangi ili kupendeza n...
Leo katika biashara mwendo ni ule ule tunapeana madini kuhusiana na kutengeneza vitu mbalimbali kwa ajili ya biashara na leo tunajuzana na kufundishana jinsi ya kuandaa ...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee, najua kabisa huko mtakuwa mmeitikia kimoyo moyo wanangu sana, sasa hapa namaanisha kazi iendelee haswaa...
Mpenzi sikujua kuwa kwako nimezama nimedumbukia hivi, nimekuwa teja wa penzi lako na kama mapenzi yangekuwa chakula basi pasi na unguli wa mapishi yako siivi.
Nimegundua hakun...
Imekuwa tabia ya baadhi ya mashabiki kuwatupia vitu wasanii wakiwa jukwaani, bila kujali vitu hivyo vinaweza kuwaumiza au laa, lakini upande wa wasanii imekaa tofauti mara nyi...
Mwanamitindo wa nywele Arrogant Tae kutoka nchini Marekani , ambaye amekuwa akijihusisha na utengengenezaji wa nywele za baadhi ya watu maarufi duniani akiwemo, Nicki Minaj, n...
Baada ya msanii wa #BongoFleva Diamondplatnumz kuwaalika baadhi ya wasanii kwenye tamasha lake la Wasafi Festiva, akiwemo mkali Alikiba, sasa msanii huyo kupitia mahojiano yak...