Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutoa taarifa kuhusiana na baadhi ya ‘timu’ kutowasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni kutocheza mchezo wa N...
Baada ya baadhi ya watu kumshambulia mwanamuziki #AliKiba kuwa ameazima vazi la msanii mwenzake #Marioo katika Tamasha la Simba day week iliopita, #Designer #Alien Drip mbaye&...
Uwanja ambao limefanyika tamasha la ‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ambalo alimualika mwanamitindo na muimbaji Kanye West, uwanja wa Kihistoria wa Circu...
Night club inayomilikiwa na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Jay-Z ya 40/40 imefungwa baada ya miaka 20 na inatarajiwa kufunguliwa tena katika eneo jipya mwaka 2024.
...
‘Streika’ wa #Yanga Clement Mzize taratibu ameanza kufuata nyayo za mshambuliaji wa zamani wa ‘klabu’ hiyo Fiston Mayele ambaye ameondoka kwenye timu h...
Baada ya ‘rapa’ Tory Lanez kuhukumiwa kifungo cha miaka 10 siku ya Jumanne baada ya kukutwa na hatia ya mashitaka matatu, Kushambulia Thee Stallion kwa kutumia sil...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Skales ambaye alitamba miaka ya nyuma kwa wimbo wake “Shake Body”, ameweka wazi maisha yenye changamoto aliyopitia kipindi baada ...
Suala la ufanyaji mazoezi limekuwa likisisitizwa sana kwa jamii lengo ikiwa ni kuimarisha mwili ili kuondokana na baadhi ya magonjwa, kwa upande mwingine inaonekana baad...
Mwanamuziki na mmliki wa label ya #KondeGang, #Harmonize ametoa taarifa kuwa chanzo cha ukimya wa msanii wake #Ibraah unatokana na mapato ya msanii huyo kuwa yamezuiliwa pamoj...
Waswahili wanasema mcheza kwao hutuzwa, kauli hii imejidhihirisha kwa msanii wa bongo ‘fleva’ nchini Rayvanny baada ya kuonesha jinsi alivyopokelewa vizuri mkoani ...
Cristiano Ronaldo ameendelea kupokea heshima utoka kwa watu na ‘vilabu’ mbalimbali, awamu hii mchezaji wa #RealMadrid, mwenye namba saba mgongoni Vinicius Junior, ...
Aliyekuwa mpiga picha wa Harmonize, Jabulant ameweka wazi kuwa hajaacha kufanyakazi na Konde Gang ili azungumziwe kwenye mitandao bali aliacha kazi na nyota huyo wa muziki kwa...
Mwigizaji maarufu nchini Kajala amedai alimshauri Harmonize amuachie gari aliyekuwa msanii wa Konde Gang Anjella, alipokuwa akiondoka kwenye Label hiyo,
Kajala amedai kuwa ali...