Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Marekani Emory Andrew Tate III ameshinda rufaa ya ‘kesi’ ya ubakaji, biashara ya binadamu na unyanyasaji wa ki...
Kama ilivyo kawaida kwa Paula ambaye ni mtoto wa muigizaji maarufu nchini, kushinda kuzuia hisia zake akiwa kwenye mahusiano, ameendelea kuonesha upendo wake juu Marioo.Paula ...
Baada ya ukimya wa muda mrefu wa mtangazaji wa soka nchini Baraka Mpenja, hatimaye amerudi tena mjini anatarajiwa kukiwasha kesho kwenye Simba day .Mpenja kupitia Instagram ya...
Muigizaji mashuhuri nchini Marekani Dwayne Johnson maarufu kama The Rock amemnunulia nyumba kama zawadi mpiganaji wa UFC, Themba Gorimbo jijini Miami baada ya kuguswa na stori...
Dunia ina mengi sana na kila mtu hutafuta njia ya kujipatia kipato ili mkono uende kinywani, wakati wewe umekaa bila kazi na kusema hakuna ajira, wala hauna mtaji wa kufanya b...
Imekuwa kawaida kwa msanii kutoka nchini Marekani, Kanye West kukatiza mitaani akiwa katika muonekano ambao huwaacha wengi vinywa wazi, siku sio nyingi alionekana kukatiza kat...
Baada ya purukushani nyingi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kesi ya mwanamuziki Cardi B kumpiga shabiki na Microphone wakati akitumbuiza mjini Las Vegas wiki iliyopit...
Mwanamuziki Rayvanny athibitisha ule msemo wa wahenga kuwa “kila unachojiwazia ndicho hutokea” kwa kudai kuwa kila alichokuwa akiota kitokee kwenye muziki wake ndi...
Wakati wanajangwani wakitarajia kuachia Documentary yao, wanamsimbazi wao wanajiandaa kusherehekea kilele cha siku ya wanasimba inayotarajiwa kufanyika Agosti 6.Kupitia ukuras...
Kumekuwa na tetesi za kuwa kuna baadhi ya wasanii hutumia pesa ili waonekane wana watazamaji wengi kwenye mtandao wa #YouTube, kutokana na swala hilo kwa mara ya kwanza mwanam...
Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Michezo na sanaa na Serikali ya Cuba wafanya makubaliano kushirikiana katika kuendeleza mchezo wa ngumi.
Ikiwemo mabondia wa Tanzan...
Mwanamuziki #BarnabaClassic anawakumbusha watu kuto kwamishwa na maneno wanapotaka kufikia malengo yao , Barnaba amedai kuwa ukifanyiwa ubaya usalalamike angalia mbadala na na...
Wakati #Bongo tukisubiri ‘ligi’ ianze ili tujue nani ataondoka na kiatu cha ufungaji bora, kwa upande wa Lionel Messi anaendelea kuongeza idadi ya 'magoli’ t...
Ikiwa tumezoea kuona maonyo mbalimbali kwenye chupa za pombe kama vile kunywa kistarabu, au yale ya kwenye sigara yasemayo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako, bila kuta...