02
Mchezaji Chucho amezwa na mamba
Mchezaji wa ‘timu’ ya Deportivo Rio Canas kutoka nchini Costa Rica, Jesus Alberto Lopez maarufu kama Chucho (29) anadaiwa kufariki baada ya kumezwa na #Mamba mtoni...
02
Wakazi ammwagia sifa Harmonize
Kama ilivyo kawaida ya msanii wa #HipHop #Wakazi kutofumbia macho japo likimfurahisha au likimkwaza, awamu hii aibuka kwa kummwagia sifa Harmonize kutokana na kufurahishwa na ...
02
Mane uso kwa uso na Ronaldo
Baada ya kuzuka tetesi za muda mrefu kuhusiana na mshambuliaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Senegal Sadio Mane, hatimaye usiku wa kuamikia leo ametambulishwa rasmi  ...
02
Eric ataka kulipwa zaidi ya 85 milioni ili aoneshe sura ya mtoto wake
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu maarufu kuficha sura za watoto wao mara baada ya kuzaliwa, kama ilivyojitokeza kwa baadhi y...
01
Roma: Maisha yana siri simama na Mungu
“Unaweza ukapambana Kutafuta pesa Kwa miaka mingi ukamwaga jasho machozi na damu….Ukabahatika Kupata Hata 100M, ukasema Sasa Nianze kujijenga kimaisha, hapo hapo ...
01
Zuchu ampongeza S2kizzy
Mwanamuziki @officialzuchu atoa pongezi kwa mzalishaji wa muziki anayefanya vizuri nchini @s2kizzy kwa kazi kubwa anayofanya . Zuchu amesema kuwa ni vyema ampatie producer huy...
01
Manara: kwaheri Fiston Bugati Mayele
Baada ya wachezaji na baadhi ya viongozi kumtakia kheri mchezaji Fiston Mayele, hatimaye aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga Haji Manara naye ametoa baraka zake...
01
Meja Kunta: Watanzania naombeni dua zenu
Wakati wasanii wa #BongoFleva wakiendelea kukiwasha katika sekta yao huku watoto wa uswazi wazee wa singeli wakiendelea kupambana ili kuufikishe muziki wa singeli kimataifa. M...
01
Zuchu: Honey wako kaku-wish
Ikiwa leo ni siku ya girlfriends duniani mwanamuziki anaetamba na kibao cha #Honey @officialzuchu ame-share picha zake mpya na ujumbe wa kuwatakia mashabiki wake heri ya siku ...
01
Mrembo anayekula toilet paper
Kila mtu huwa na uraibu wake ambao kwa upande wake huona ni sawa lakini kwa watu wengine huutazama uraibu huo kama kitu cha ajabu, kuna wale wanaopenda kula, kucha, udongo na ...
01
Harmonize: Platform hazijanilipa mauzo yangu
Huku mvua ya kutoa nyimbo ikiendelea kwa msanii Harmonize ameweka wazi kuwa kuna baadhi ya platform zinapopatikana kazi zake hazijamlipa mauzo yake. Kupitia #InstaStory yake a...
01
Msechu apungua kilo 17
Mwimbaji maarufu nchini @peter_msechu ameeleza kuwa amepungua kilo 17 ndani ya miezi sita, kutoka 144 alizokuwa nazo hapo awali. Kupitia ukurasa wake wa #Instagram ameshusha u...
01
Manara azimika na ufanyaji mazoezi wa Kajala
Aliyewahi kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga #HajiManara amemmwagia sifa ‘staa’ wa #BongoMovie Kajala kwa jitihada za kufanya mazoezi na kujali afya yake...
01
Cardi B afunguliwa mashtaka
Aliyepigwa na Cardi B afungua mashtaka kwa kitendo cha rapper huyo kumrushia microphone wakati wa onyesho la msanii huyo. Tukio hilo limetokea weekend iliyopita ambapo mmoja k...

Latest Post