08
Hamisa: Utakuwa mtu ambaye dunia itajivunia
Katika kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake Hamisa Mobetto ameonesha furaha yake kwa kuandika maneno ya upendo kwa mtoto huyo wa pili, ambaye siku ya leo anasherekea kumbukumb...
08
Wasanii na mavazi ya ajabu
Kawaida maisha ya baadhi ya wasanii ambayo wanayaonesha kwenye mitandao ya kijamii huwa ya kustaajabisha, kumekuwa na ubunifu wa vitu mbalimbali ambavyo wanavifanya kwenye upa...
08
Neymar kuondoka PSG, Chelsea yatajwa
Mshambuliaji wa PSG anadaiwa  huenda akajiunga na Chelsea katika dirisha la usajili lililofunguliwa mwezi wa saba na linatarajiwa kufungwa mwezi huu, baada ya kuibuka kwa...
08
Chama na Jesus hawataiona ngao ya jamii
Winga wa ‘klabu’ ya #Yanga, #JesusMoloko atakosekana katika mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC kutokana na kutumikia ‘kadi’ nyekundu aliyoipata k...
08
Kanye West jukwaa moja na Travis Scott
Inasemekana kuwa Mwanamitindo na ‘rapa’ maarufu nchini Marekani amerudi tena jukwaani tangu show yake ya Rants Antisemitic ya mwaka 2022. TMZ news inaeleza kuwa Ka...
08
Megan: Siwezi kuwa chumba kimoja na Tory
Rapa kutoka nchini Marekani Megan Thee Stallion bado anasumbuliwa na tukio la kupigwa risasi na Tory Lanez anasema hawezi kuwa katika chumba kimoja na Tory ambaye ndiye alimfa...
07
Wafahamu watu ambao hawana Finger print vidoleni
Inafahamika kuwa kwa sasa suala la usajili kwa kutumia alama ya kidole imekuwa kawaida sana na ili uweze kupata baadhi ya huduma basi inakubidi uweke alama ya kidole (Finger P...
07
Harmonize: Tusonge mbele bado hatujachelewa
Mwanamuziki #Harmonize amewakumbusha wasanii wenzake kuwa zamani msanii akitoa wimbo wa kingereza ilikuwa ni kituko na kuwataja baadhi ya wasanii wa zamani walio pambania kuim...
07
Lil Wayne adai ndiye mwanzilishi wa tattoo za usoni
Rapper kutoka nchini Marekani #LilWayne amedai kuwa anaamini yeye ndiye sababu kubwa ya watu wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye nyuso zao, ameeleza hayo  kupitia moja...
07
Bayern yamuandalia Kane mjengo wa kifahari
Wakati ‘dili’ la kwenda Bayern Munich likiwa halieleweki kuna taarifa zinadaiwa kuwa kuna uwezekano mchezaji Harry Kane akaendelea kusalia Tottenham, tetesi za nda...
07
Diamond na Jux wakutanisha pamoja wasanii zaidi ya watano
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya mashabiki kutoa lawama kwa wasanii kuhusiana na ubora wa video wanazotoa huku wengi wakilalamika kuwa mara nyingi audio zinakuwa nzuri lakini iki...
07
Diamond na Abdukiba kwenye wimbo mmoja
Nyota wa muziki Diamondplatnumz amesema kuwa inawezekana kabla ya kuanza kwa #WasafiFestival anatarajia Abdukiba  atatoa ngoma ambayo ameifanya pamoja na Diamond. Wakati ...
07
Ronaldo akumbukwa na timu yake ya zamani
Ikiwa imetimia miaka 20 tangu aondoke mchezaji Cristiano Ronaldo katika ‘klabu’ ya Ureno  Sporting CP, imempa heshima mchezaji huyo kwa kuzindua ‘jezi&r...
07
Tory kuhukumiwa leo
Inadaiwa kuwa Rapa Tory Lanez kutoka nchini Marekani anaweza kupata kifungo cha muda mrefu katika hukumu yake inayotarajiwa kutolewa  siku ya leo  baada ya kukutwa n...

Latest Post