Baada ya msanii wa #BongoFleva Diamondplatnumz kuwaalika baadhi ya wasanii kwenye tamasha lake la Wasafi Festiva, akiwemo mkali Alikiba, sasa msanii huyo kupitia mahojiano yak...
Kijana Emmiwuks aliyesafiri siku nane kwa kutumia baiskeli ili aonane na nyota wa muziki kutoka Nigeria, amegoma kurudi kwao baada ya Davido kutoa kauli ya kumtaka kijana huyo...
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetaka mchezaji wa zamani na Rais wa shirikisho la soka nchini Cameroon, (FECAFOOT) Samuel Eto’o, kuchunguzwa kufuatia na malalamiko...
Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) limeshauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuhakikisha linatoa malipo sawa ya fedha na tuzo kwa wanawake , kama ilivyo kwa wanaume...
Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji ameandika kupitia akaunti yake ya Instagram akiwasifia magolikipa wa Simba Ali Salim na Aishi Manula ila akadokeza bado anahitajika mw...
Bondia wa zamani wa kulipwa Floyd Mayweather amejitoa kuwasaidia zaidi ya watu 70 waliokumbwa na athari ya moto kisiwani Hawaiian, baada ya baadhi ya watu kupoteza makazi na w...
Rapa Tory Lanez baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 10 jela, kwa kosa la kumpiga risasi Megan Thee Stallion, kabla hajaenda jela ameacha ujumbe kupitia ukurasa wake wa Insta...
Deal done kwa mchezaji Herry Kane kusalia katika ‘klabu’ ya Tottenham baada ya Bayern Munich kufikia makubaliano na Tottenham kumsajili mshambuliaji huyo wa Englan...
Ni siku chache zimepita baada ya msanii wa #BongoFleva Diamond kuzindua tamasha lake na kufunguka kuwa atafurahi kama Harmonize na Alikiba wakikuwepo katika tamasha hilo...