Ni kama moto umewaka kwa baadhi ya wasanii wa #Bongo kufanya ‘kolabo’ na ma-star kutoka nchi mbalimbali, mwanamuziki Harmonize naye hajakaa kinyonge ba...
Si mara ya kwanza msanii Diamond kuonekana katika wimbo mmoja na mkali kutoka nchini Congo, Koffi Olomide, miaka miwili iliyopita wawili hao walifanya wimbo walioupa jina la &...
Mwanamuziki kutoka nchini Rayvanny bado ameendelea kuonesha kuwa yeye ndiye mwanamuziki anayependwa zaidi na mashabiki, kwa kuonyesha baadhi ya mapokezi yake sehemu mbalimbali...
Baada ya kionjo cha wimbo kati ya Diamond na Chidi Beenz kusikika siku chache zilizopita, imeonekana wadau wengi wa muziki walikuwa na hamu ya kusikia tena sauti ya Chidi ...
Mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, Sam Asghari amewasilisha karatasi za talaka mahakamani kwa madai ya kumuacha mke wake Britney Spears ambaye walifunga ndoa hivi kar...
Muongizaji filamu Tanzania Lamata Leah, amewafurahisha na kuwaacha wengi katika mshangao baada ya kumuweka Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk, Balozi Pindi Chana Ch...
Katika tasnia yoyote ni vyema kuwa na kitu kiitwacho ‘kemistri’ kwa watu wanaofanya jambo pamoja, mfano mzuri siku za hivi karibuni msanii Jux ameonekana kuwa na &...
Suala la wazazi kushiriki katika kukuza vipaji vya watoto wao ni jambo bora zaidi kwani hupelekea kujenga misingi mizuri kwa watoto tangu wakiwa wadogo kwenye kile wanac...
Baada ya kutokea purukushani kuhusiana na mwimbaji kutoka nchini Congo kufuta wimbo ya #Enjoy, wa Jux aliyomshirikisaha Diamond, muigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Idris S...
Aliyekuwa msemaji ya Yanga Haji Manara amefunguka na kudai kuwa ‘klabu’ hiyo inatarajia kufungua tawi la lake katika jiji la Durham, North Carolina nchini Ma...
“Nimefurahi kukutana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu wa FIFA, Ornella Desirée Bellia kujadili kuhusu Super L...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya Yanga ipo kwenye maboresho ya mikataba ya wachezaji wao kutoka Morocco #MaxiNzingeli na #KouassiYao , kutokana na uwezo wao mkubwa w...
Muimbaji kutoka nchini Nigeria Asake anaendelea kuupiga mwingi kwenye show anazofanya, hii imejidhihirisha baada ya kufanikiwa kuuza ‘tiketi’ zote za show ya...