Kutokana na mafanikio aliyopata mwanamuziki Davido kupitia Album yake ya #Timeless, ameamua kujipongeza kwa kujizawadaia kidani cha thamani kilicho tengenezwa na madini ya Dia...
Baada ya mwanamuziki kutoka Congo #Sapologuanoodenumz kuishusha audio ya wimbo wa Enjoy kutoka kwa mkali Jux ambao kamshirikisha Diamond , sasa kijana huyo adai kuifuta na vid...
Baada ya kutangaza vita na kushikilia msimamo wake wa kuondoa aina ya muziki wa Amapiano ambao umekuwa gumzo Tanzania, msanii wa #BongoFleva @Shetta ameibuka tena akiweka msis...
Muigizaji mchanga kutoka nchini Marekani Angus Cloud aliyeripotiwa kujiua mwezi uliopita, ushaihidi unadai kuwa kifo cha Cloud kilitokana na matumizi ya madawa kupitiliza na s...
Mwanamuziki kutoka Nigeria, #Davido amefunguka kuwa albamu yake mpya aliyoiachia mwanzoni mwa mwaka huu ya Timeless imebadilisha maisha yake.
Hii inakuja baada ya kuulizwa swa...
Baada ya kuonesha kiwango bora kwenye mechi yake ya kwanza ya Ligi dhidi ya #Al-Raed, Mwandishi wa Habari na shabiki wa klabu ya Al-Ittihad, #IbrahimAl-Faryan hakufanya hiyana...
Mpishi kutoka nchini #Kenya, #MalihaMohammed amevunja ‘rekodi’ ya Dunia ya Guinness kwa kupikia nyumbani baada ya kutimiza saa 90 na dakika 15.
Mpishi huyo alianza...
Winga wa #Ihefu SC #YacoubaSongne ameaga rasmi ‘timu’ yake hiyo ambapo ameambatanisha na ujumbe katika ukurasa wake wa #Instagram akieleza kuwa ulikuwa wakati mzur...
Baada ya bondia #KareemMandonga kuingia ulingoni mfululizo bila kupata mapumziko ambayo yataweza kumuweka ‘fiti’ kwaajili ya mapambano mengine, bondia huyo hatoshi...
Inafahamika kuwa kwenye jamii kumekuwa aina mbalimbali ya matamasha ikiwemo ya kiburudani, dini, biashara, ya kitamaduni na mengine mengi, japo yapo yale ambayo Dunia nzima hu...
Taarifa toka ndani ya gereza alilopo msanii wa Hip-hop Tory zinadai kuwa, mkali huyo wa Hip-hop ametengwa kwenye chumba cha peke yake ambacho ni maalum kwa wafungwa ambao kius...
Mwanamuziki Harmonize wakati akiwakumbusha mashabiki wake ujuo wa single again remix anayotarajia kutoa na @rugerofficial amedai kuwa akionesha maisha ya kifahari anayoishi ha...
Baada ya ‘klabu’ ya #Yanga kuchapwa mikwaju mitatu ya ‘penati’ na #Simba siku ya jana Tanga katika uwanja wa Mkwakwani, wakati wa kutafuta mshindi wa N...
Mshambuliaji wa #PSG #Neymar inadaiwa kuwa yupo katika mazungumzo na ‘klabu’ yake kuhusu uhamisho wa team nyigine utakaokuwa na thamani ya Euro Milioni 160 a...