Leo katika kapu letu la fashion nimependa nikusogezee kitu ambacho this weekend utajifunza kitu mwanetu, hivi unajua fashion ina bebwa na muonekano sasa ngojea tuongelee mavaz...
Baada ya ukimya wa muda mrefu wa Mh. Nickson John maarufu kama @nikkiwapili bila kuachia ngoma, hatimaye sasa amerejea kitofauti.
Nikki ameachia wimbo aliyoupa jin...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Harmonize ameeleza hayupo tayari kuwa na mtoto mwingine zaidi ya mtoto wake Zulekha, Konde boy amemfananisha mwanaye huyo na mama yake mzazi....
Tamasha la Made In America linalofanywa kila mwaka na nyota wa muziki Jay-Z lililotarajiwa kufanyika mwezi ujao Philadelphia limeghairishwa hadi mwaka ujao.
Kughairishwa kwa t...
Mchezaji aliyetambulishwa hivi karibuni na ‘klabu’ ya Manchester United, #RasmusHojlund amepata majeraha mgongoni na inadaiwa tatizo lake ni kubwa ambalo litapelek...
Hatimaye microphone iliyorushwa kwa shabiki na Cardi B mwishoni mwa mwezi uliyopita imepata mteja siku ya jana , ambapo imenunuliwa kwa dola 100, 000 ambayo ni zaidi ya Tsh 24...
I hope mko good watu wangu wa nguvu, kama mnavyojua wanavyuo wengi wamemaliza mitihani na wako mbioni kupeleka CV zao katika makampuni mbalimbali sasa leo nakusogezea kitu amb...
Hatimae Rapper kutoka Canada, Tory Lanez ahukumiwa miaka 10 gerezani kwa kosa la kumpiga risasi Megan Thee Stallion.
Msanii huyo alikutwa na hatia ya kumpiga risasi mwanamuzik...
Hakikisha haukai kizembe ndugu yangu changamsha akili na maarifa au siyo? Leo nakupa hii hapa jinsi ya kutengeneza mafuta ya Nazi simple kabisa bila mambo mengi.Kama tunavyoju...
Muigizaji na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Jada Pinkett Smith ameonyesha muonekano wake mpya huku akieleza kuwa nywele zake zinarudi.
Jada Pinkett Smith alionekana kuw...
Upinzani umekuwa kitu cha kawaida kwa watu wanaofanya jambo la kufanana, kama ilivyo kwa wafanyabiashara katika kuvuta wateja, kwenye michezo kama ilivyo simba na Yanga, lakin...
Baada ya kuwa na tetesi kuhusiana na mchezaji kutoka ‘klabu’ ya PSG Kylian Mbappe kuondoka katika ‘timu’ hiyo.
Tetesi hizo zimeanza kuthibitika baada y...
Msanii kutoka nchini Marekani Drake anaendelea kuonyesha mapenzi mazito kwa mtoto wake wa kiume Adonis, kwa kuchora tattoo mpya shingoni ya jina la mtoto huyo.
Ikumbukwe hiyo ...
Baada ya kuwa na story nyingi kuhusiana na mtangazaji maarufu nchini Diva kuto badilisha ‘wigi’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka sawa jambo hilo, wakati akifany...