Nyota wa mchezo wa #Tenisi kutoka nchini Marekani Serena Williams na mumewe Alexis Ohanian wanatarajia kupata mtoto wa kike.
Kupitia tafrija fupi ya baby shower waliyofanya na...
Rapper kutoka nchini Kenya Breeder LW ameweka wazi kutoza laki mbili na elfu 46 kwa kila neno kwenye verse ya wimbo atakao shirikishwa .
Gharama hizo ameziweka wazi kwen...
Bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo ametoa ushauri kwa mabondia wengine kwa kuwaambia watafute walimu wazuri wa ngumi.
Mwakinyo amedai kuwa ngumi ni pesa na maisha na sio us...
Microphone aliyorusha Cardi B kwa lengo la kumpiga shabiki yaingizwa sokoni kupigwa mnada kwa gharama ya juu.
Tarehe 29 wakati Card B aki-perform kwenye onyesho Las Vegas, sha...
Vita ya ma-ex wawili bado inaendelea, ambapo kwa upande wa Harmonize bado anatoa ya moyoni.
Kupitia instastory yake ameshusha tena ujumbe ukisema
“U can tell how walikuw...
Mmiliki wa label ya Def Jam Records na Mtayarishaji wa Muziki nchini Marekani, L.A. Reid amesema anajutia kumtema Lady Gaga katika label yake anasema.
“Ilikuwa ni ...
Jumatano ya mashambulizi kutoka kwa Kajala na Harmonize, wahenga walisema kuwa mapenzi yakiisha hugeuka kua uadui, wawili hawa ambao wengi walizoea kuwaona kwenye picha ya pam...
Albam ya nyota wa muziki kutoka Nigeria Davido inayoenda kwa jina la ‘Timeless’ imefanikiwa kufikisha streams bilioni 1, kwenye majukwaa makubwa ya kuuza muziki mt...
Huku michuano ya kushika namba moja trending kwenye platforms za kuuzia muziki kwa wasanii wa #BongoFleva, kwa upande anayejiita Dc wa #Instagram na mtangazaji #Mwijaku anadai...
Mlinzi wa kati wa Taifa stars, Abdi Banda ambaye amewahi kupitia ‘vilabu’ mbalimbali ikiwemo Simba SC, Mtibwa Sugar, Chippa United ametambulishwa rasmi...
Si kawaida ya Harmonize kumsema mtu kwa kumtaja jina zaidi hutumia mafumbo na wakati mwingine huwasilisha ujumbe kwa njia ya nyimbo, sasa baada ya uvumiliu kumshinda #KondeBoy...
Mchezaji kutoa ‘klabu’ ya Manchester City, #João Cancelo kupita #InstaStory yake ame-share wimbo wa msanii #Marioo_tz #MiAmor.
Hii inadhihilisha kuwa ...
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Hassan Bumbuli aamishia majeshi Bank ya NMB akiwa kama Relationship Manager- sports and game.
Bumbuli tayari amefanya mabadil...
Ikiwa zimepita siku chache baada ya mtandao wa Twitter kufanyiwa mabadiliko kwenye upande wa Logo yake kutokana na mmliki mpya wa mtandao huo Elon Musk kutaka kuanza upya kwa ...