30
Twaha Kiduku akiri kupokea kichapo
Bondia ambaye ni marachache sana kupoteza mchezo akiwa ulingoni,  Twaha Kiduku amekili kupokea kichapo kutoka kwa mpinzani wake, Asemale Wellem kutoka Afrika Kusini katik...
30
Marioo: wananitaka, mimi siwataki
Penzi  la #Paula na #Marioo limeonekana kuendelea kunoga hadi kupelekea wawili hao kushindwa kuficha hisia zao. Licha ya kuwa na maneno mengi kutoka kwa  baadhi ya w...
30
Mandonga apokea kichapo kutoka kwa Moses
Bondia Karim Mandonga amekalishwa tena kwa kupokea kichapo kutoka kwa bondia wa Uganda, Moses Golola. Bondia  Golola amemtoa Mandonga njee ya mchezo kwa technical knock o...
29
Wolper: Nimemruhusu mume wangu achepuke
Mwanamitindo na muigizaji Jacline Wolper kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni na moja ya chombo cha habari amesema kuwa anamruhusu mume wake achepuke na watu wenye faida.Ka...
29
Atumia zaidi ya Million 49 ili afanani na mbwa
Mwanaume mmoja kutoka nchini Japan alioyefahamika kwa jina la Toco ametumia zaidi dola 20,000 ambazo ni zaidi ya sh 49 milioni za kitanzania ili kuwa na muonekano wa mbwa.Alif...
29
Diva: mimi ndiye mwanamke ninaye nukia zaidi tanzania
Mtangazaji  Diva amewaacha hoi mashabiki baada ya kueleza kuwa yeye ndo mwanamke anayenukia vizuri Tanzania nzima. Diva ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari jij...
29
Roma: sihusiki kwenye wimbo wa Nay, namba zake za simu sina
Baada ya msanii Nay wa Mitego kudai kuwa mistari ya wimbo wa amkeni ambao kwa sasa umefungiwa kuna baadhi ya mistari ametumiwa na #Roma, sasa roma amejibuka na kukanusha madai...
29
Nay wa Mitego: watu wa karibu wamenikimbia
Baada ya kuzuka tetesi za msanii  Nay wa Mitego kuitwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa ajili ya majadiliano kuhusiana na wimbo wake mpya wa ‘amkeni’....
29
Wimbo wa nay amkeni wapigwa stop
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imetoa katazo kwa wimbo wa msanii wa #Hiphop  Nay wa Mitego, 'Amkeni' kupigwa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao ya kijami. Kupiti...
28
Aslay: mimi siyo dogo
Mwanamuziki Aslay Isihaka amewatolea uvivu wanaodai kuwa sasa hivi hana jipya kwenye muziki kwani hajawahi kutoa ‘kolabo’ na wasanii kutoka nje ya nchi. Aslay amew...
28
Drake ndiye mmiliki wa pete ya Tupac
Nyota wa muziki kutoka Marekani Drake amewaacha watu kwenye maswali yasiyokuwa na majibu, baada ya ku-post kwenye #InstaStory yake picha ya pete inayofanana na iliyokuwa ikimi...
28
Aunty: mimi ndiye msanii mwenye ngozi nzuri
Mwigizaji mkongwe nchini Aunty Ezekiel kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari amefunguka na kueleza kuwa yeye ndo msanii anayeongoza kwa kuwa na ngozi nzuri nchin...
28
Wanyama wenye vichwa viwili
Ni ajabu na nadra sana kuona viumbe wenye vichwa viwili, kwa haraka unaweza dhani upo ndotoni, lakini ukweli ni kwamba viumbe wa aina hiyo wapo na wanaishi kama waishivyo weng...
28
Akaunti za aliyedai kuwa na ujauzito wa Davido zafungiwa
Ikiwa zimepita siku chache tangu mwanadada aliyedai kuwa na ujauzito wa nyota wa muziki Nigeria Davido, ku-share video kwenye ukurasa wake wa #Instagram na kudai ataenda kweny...

Latest Post