Huwenda mwanamuziki @officialzuchu , anakaribia kutoa wimbo mpya, kutokana na kionjo cha maneno ambacho ame-share kama caption kwenye picha aliyo-post katika ukurasa wake wa #...
Usiku wa kuamkia leo ‘klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani ilikuwa na mchuano ya kucheza na ‘timu’ ya Cruz Azul kwenye mchezo wa Leagues Cup, m...
Yale maokoto ambayo wengi walikuwa wakiyasubiri kwa muda mrefu ili kujua kiasi cha pesa ambacho wasanii watapata kutokana na kazi zao kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya Redio...
Hatimaye kati ya warembo 20 waliokuwa wakishindania Taji la Miss Tanzania, mrembo Tracy Nabukera, ameibuka kidedea kwa kuondoka na taji hilo, ambalo alivalishwa na aliyekuwa M...
Kwenye muziki wa #HipHop kwa bongo wasanii ni wengi na kila mmoja huwa na aina ya uandishi wake kwenye upande wa mistari, wapo wale wazee wa ‘disi’, na wale wa ngu...
Mfungaji bora msimu uliopita katika ligi kuu Tanzania Fiston Mayele, ambae tetesi zinaeleza kuwa mchezaji huyo anasubiria tu ‘Thank you’ kutoka katika ‘klabu...
Golikipa wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG), Gianluigi Donnarumma na mkewe wamevamiwa na watu wasiojulikana katika nyumba yao iliopo Paris usiku wa kuamkia ja...
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya binadamu kuwa na tabia ya kujaribu kila jambo, hata yale ambayo wengine wanadhani ni magumu kufanyika, leo hii mfahamu raia wa Ufaransa aliye...
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu mashuhuri ifikapo katikati au mwisho wa mwaka huachia ‘listi’ ya ngoma wapendazo kusikiliza, kama ilivyo utaratibu wa ya Rai...
Rapa kutoka nchini Marekani Drake, @champagnepapi ameonekana akikatiza katika mitaa ya hotel aliyokuwa amefikia wakatu akisubiri kufanya performance Barclays Center , huku uso...
Bondia kutoka nchini Tanzania Karim Mandonga, kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari amedai kuwa hamfahamu bondia Hassan Mwakinyo.Mandonga amesema hayo baada ya k...
Wakati wasanii wengi wakizidi kujikita katika aina ya muziki wa amapiano lakini kwa upande wa masanii mkongwe #MbdoggMaster yeye yuko tofauti na muziki huo.
Akizungumza na moj...
Baada ya kuthibitika kuwa #FulhamFC imezuia uhamisho wa mshambuliaji wa timu hiyo #AleksandarMitrovic, kwenda 'klabu' ya Al Hilal ya Saudi Arabia, mshambuliaji wa huyo ameripo...