14
Grammy yatangaza tuzo mpya ya muziki wa Kiafrika
Tuzo kuu za tasnia ya muziki nchini Marekani sasa zitajumuisha kitengo kipya kwa wasanii wa Kiafrika pekee, kuonyesha kimataifa mitindo ya watu wa nyumbani kama vile afrobeats...
14
Singida Big Star sasa itaitwa Singida Fauntain Gate FC
Mjumbe wa Bodi ya Singida Fountain Gate FC, John Kadutu amesema timu ya Singida Big Stars ambayo ilimaliza nafasi ya nne msimu wa 2022/23 na kushiriki michuano ya Kombe la Shi...
14
Agoma kutoka nyumbani kwa Ex wake iliandelee kupata maokoto
Ebanaee!! Hivi mshawahi jiuliza kwanini wasanii wengi wa nje wanapigwa matukio sana na wapenzi wao wa zamani (Ex), basi bwana mwendo ni uleule jambo hili limemkuta tena muigiz...
14
Watu 150 wafa maji wakitoka kwenye harusi
Watu Zaidi ya 150 wamefariki baharini baada ya boti waliopanda kupinduka njiani, ambapo walikuwa wanatoka kwenye sherehe ya harusi. Hadi sasa kuna Watu 150 waliofariki na za...
13
Guinness yathibitisha Hilda kuvunja rekodi ya dunia ya mpishi
Mpishi kutoka nchini Nigeria ambaye amekuwa maarufu duniani kote baada ya kupika bila kukoma kwa zaidi ya saa 93 amethibitishwa kuwa mshikilizi mpya wa rekodi ya dunia. Shirik...
13
Muuguzi ambaka mama mjamzito
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamshikilia Rayson Agnelusi Duwe muuguzi msaidizi katika hospitali ya wilaya ya Sikonge, kwa kosa la kumbaka mama mjauzito wa miezi tisa baada ...
13
Kampuni ya Johnson & Johnson yashtakiwa Kenya
Shirika moja la kutetea haki za binadamu kutoka nchini Kenya limeishtaki shirika la kimataifa la Marekani Johnson & Johnson juu ya kuuzia wananchi wao poda zisizo na ubora...
13
Mwanamke aliyefariki azinduka wakati wa kuzikwa
Baadhi ya raia wa Ecuador wameachwa na mshangao baada ya mwanamke aliyetambulika kwa jina la Bella Montoya mwenye umri wa miaka 76 kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye jene...
13
Ahmed Ally: Hatuna cha kujivunia msimu huu
Ikiwa ni usiku mmoja umepita baada ya tuzo kwa waliofanya vizuri msimu wa 2022/23 kutolewa, Meneja Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema washahitimisha rasmi msimu. Ku...
13
Wanaharakati wa upinzani wafunguliwa mashtaka, Zimbabwe
Wanaharakati 39 wa upinzani wanaoshutumiwa kwa kuzua ghasia za kisiasa nchini Zimbabwe wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na madai ya kuharibu ofisi ya chama tawala (ZANU-PF) si...
13
Mayele na Ntibazonkiza wote waondoka na kiatu
Wachezaji Saido Ntibazonkiza wa Klabu ya Simba na Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga wametwaa Tuzo ya mfungaji bora msimu huu wa 2022/23 katika Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Mig...
12
Museveni ajitenga na uvumi wa kifo chake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameweka ujumbe kwenye mtandao wa Twitter na kusema kuwa bado anajitenga kufuatia uvumi wa mitandao ya kijamii kwamba amefariki kutokana na Covid...
12
Boti yawaka moto baharini
Boti ya watalii nchini Misri iliokuwa imebeba jumla ya watu 27, miongoni mwao wakiwa watalii 15 wa Uingereza imewaka moto ikiwa baharini. Vyombo vya habari nchini humo vimerip...
12
John Gotti afanya fujo ulingoni
Usiku wa kuamkia leo katika pambano dhidi ya Floyd Mayweather na John Gotti III lilofanyika Florida nchini Marekani lilisitishwa baada ya uamuzi tata kusababisha vurugu kubwa ...

Latest Post