Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana leo amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma, ambapo moja y...
Tume ya biashara ya shirikisho (Federal Trade Commission) nchini Marekani imedai kuanzia 2015 hadi 2020 Microsoft ilikusanya taarifa binafsi za watoto wa chini ya miaka 13.
Am...
Sakata la Mchungaji Paul Mackenzie raia wa Kenya limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Usalama wa ndani nchini humo, Kithure Kindiki kusema kuwa hatoachiwa huru na bada...
Watu saba raia wa nchini ya Ispania waliohusika katika mashambulizi tofauti ya kibaguzi dhidi ya Winga wa Real Madrid Vinicius Jr wameadhibiwa na tume ya taifa ya nchini humo ...
Mwalimu wa madrasa (chuo cha kislam) nchini Senegal anayeshukiwa kuwabaka wanafunzi wake 27 wa kike, amekamwatwa siku ya jana Jumatatu baada ya kulikimbia jeshi la polis...
Mkali wa Afro Pop, ambae anatamba na ngoma yake ya Unavailable Davido anatarajia kupata mtoto mwingine na mkewe, Chioma Avril Rowland. Katika video waliyo post kupitia mtanda...
Mwanariadha kutoka nchini Marekani Jim Hines, mwanariadha wa kwanza kukimbia mbio za mita 100 chini ya sekunde 10, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
Alivunja rekodi h...
Mamia ya watu waliandamana nchini Morocco siku ya Jumapili katika mji mkuu wa kiuchumi Casablanca kupinga kupanda kwa gharama za maisha katika taifa hilo na kutaka hatua zichu...
Serikali nchini Senegal imezuia upatikanaji wa intaneti kwenye simu ili kusimamisha ueneaji wa taarifa zinazoweza kuleta machafuko zaidi.
Hii ni baada ya wafuasi wa Ousmane So...
Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na aliyekuwa mchezaji wao raia wa Ghana, Augustine Okrah baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu mmoja.
Okrah alijiunga na Simba mwezi J...
Mkurugenzi wa Wasafi Media na mwanamuziki mashuhuri Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango au unaweza kumuitwa...
Rapa kutoka nchini Canada Drake amekutana na masimango kutoka kwa mashabiki wake, kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa amepaka rangi ya njano na bluu kwenye ku...
Rais wa kenya William Ruto amesema kura ya wazi itafanya awatambue viongozi watakaopinga mpango kuwa maadui wa maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wa...
Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amevunja ukimya juu ya hatima ya kocha wao Nasreddine Nabi akisema kocha huyo bado ataendelea kubaki klabuni hapo. Hersi ameyasema h...